Katika kitabu cha Gideon Spies kilichowekwa na mdau mmoja wa JF nimejaribu kukisoma na nimeona nishirikishe wadau mambo kadhaa yaliyonivutia hasa katika kuundwa kwa taasisi maarufu ya kijasusi...
Ndugu zangu,
Jeshi la Wachina linakuja, wako wengi. Kwenye moja ya picha za magazetini hii leo, inamwonyesha Rais wetu akiwa amezungukwa na Wachina.
Rais amevalia ' Kijamaa', lakini Wachina...
Wachawi Mandondocha Na Misukule ya Kisiasa
Wengi wanaweza kukishangaa kichwa cha habari hapo juu, kiukweli ninachotaka kukizungumzia ni hao hao Mandondocha na Misukule wa Kisiasa.
Wengi wetu...
Ndio waliweza (wazungu) kuunda vitu wakiwa hawana hata picha ya "kugerezea" lakini sisi waafrika/watz tunashindwa kuunda vitu wakati tunaweza kuunda kwa "kugerezea" vya wenzetu! hii wewe...
Wakuu, Hivi ni kwa nini baada ya shambulio la sept 11 kule Marekani, kuna taarifa kuwa watoto wa mfalme wa SaudI Arabia walikufa vifo tata katka matukio matatu tofauti ndani ya saudia...
Na Happiness Katabazi
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA,) Togolai Kimweri anayekabiliwa na mashtaka matano ya matumizi mabaya ya ofisi na mwenzake, ameieleza...
Nilikuwa naangalia Documentary moja inaitwa Zero Days. inaelezea namna Marekani na washirika wake waliweza kushambulia mitambo ya nyuklia ya Iran kwa kutuma kirusi cha kompyuta (STUXnet). kirusi...
Happy New Year wana JF,
Utaratibu ukoje wa kuripoti kuwa kuna jasusi au mtu unayeshuku au una uhakika kuwa ni spy anakusanya taarifa nchini kwa manufaa ya taarifa nchi anayoitumikia?
Je usalama...
Tender: Printing of Bank notes
General Information
Country: International
Publication Date: Dec 18, 2008
Deadline: Jan 13, 2009
Funding Agency: World Bank
Buyer: BANK OF TANZANIA
SECRETARY TO THE...
Mbukwenyi. Jf
Wajuvi wa mambo wanijuze maana ninavyojua mimi kanisa katoliki duniani lina serikali yake katika mji wa Vatican nchini italia, na lina kiongozi wake mwenye wadhifa wa urais au...
Nimekaa nukajiuliza hivi baada ya kifo cha Field Marshal Fidel Castro kufariki, rais aliyopo madarakani Raul castro atasimamia msimamo wa kulinda ujamaa ulio zao la mapinduzi yaliyoongozwa na...

Chama cha watu wasioamini uwepo wa Mungu (Atheists) nchini Kenya kimetaka kuondolewa kwa neno ‘God’ kwenye wimbo wa taifa.
Wanadai kuwa neno ‘God” kwenye mstari wa kwanza wa wimbo huo...
Dear JF members, greetings unto you.
Direct to the point. I have been puzzled by the word intelligence leading to more questions than answers in my mind. I wish therefore to share this with you...
Ieleweke hivi muda ni uwepo/the existance of space.. Muda hupimwa kwenye space i mean the way space exist it's the way we can get time/time existance. Space kama ilivyo haionyeshi kwenda mbele...
Problems are the part of our planet earth, I'm not talking from academic context but the daily life which we live on. If you tackle normal life problems either automatically (with a some how...
Ni kawaida sana kuona watu wana majini, mashetani, mapepo, maruwani ambapo ikitokea hivyo hutafutwa kiongozi wa dini mwenye uwezo wa kuyatoa au kuyakemea sasa kwa wale kina Ngombale Mwiru huwa...
habari za jumapili wakuu,
naomba kuwasilisha hapa kwenu nikijua wapo wajuvi wa mambo kama akina eiyer,the bold na wengine wengi mseza mkulu.
ninajiuliza hili swala la elimu rasmi je limetoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.