JUA KAZI INAYOKUFAA KULINGANA NA TAREHE YAKO YA KUZALIWA
siku ulio zaliwa inaashiria ni kazi gani ukifanya utapata mafanikio kimaisha, Mfano:-
Kama umezaliwa tarehe 1 ya mwezi wowote wewe...
habari waungwana!
Jana na leo alfajiri nimeota ndoto zimenistaajabisha kidogo,
Jana nimeota kua nimesingiziwa kuwa na mahusiano na mwanaume ambae sikumtambua kwa sura, basi ikawa kama...
Wajuzi wa mambo haya mje hapa kunipa elimu juu ya hili. Je,iko kichwani,kifuani,moyoni,miguuni au mikononi? Mtu anapokufa,'roho' hufanyaje?
Wakuu Kiranga Shy land na Ishmael nawakaribisha...
Wazungu wameendelea na wana utamaduni ambao wote leo hii tunauiga au tunataka kuuiga lkn kama ulikuwa haufahamu Wazungu wameendelea kwa sababu ya UKRISTO, yaani mfumo wa Kizungu ni kwamba...
Wakuu habari zenu!
Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana...
Amani iwe nanyi!
Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo...
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu.
Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu.
Sasa je... Hii dunia...
The best way to breath is to take it from your belly. Many people do not know this mode of breathing. Take several slow breaths from your belly. Stomach breathing activates your brain. It helps...
Wasalaam wanaJf. Naomba msaada juu ya Mwanzo 6:1-4. Ukisoma hii andiko unakutana na wanadamu, wana wa Mungu na Wanafili. Biblia inasema wana wa Mungu waliwaoa binti za binadamu na wakazaa nao...
REUTERS/Mian Khursheed
Elite special forces are some of the best-trained and most formidable units a country can boast.
They go where other troops fear to tread, scoping out potential threats...
Punyeto,
Ushoga,
Usagaji,
Kutokana na ongezeko kubwa la watu duniani na huku mazingira yakihitaji uwiano, vitendo hivyo vimeibuka ili kuifanya namba ya watu kuwiana na mazingira.
Si kwamba...
Jamani naomba mtu mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe. Hivi magaidi huwa wanataka nini ili waache mauaji na kutulia? (AlQaeda, Al Shabaab, BokoHaram etc). Kila theory ninayojaribu kuijenga...
Wakuu ndani ya jamii intelligence nina swali juu ya safari za anga.
Mimi nimejaribu kuangalia Mara nyngi documentaries mbalimbali zikionesha wanasayansi wakiwa katika sehemu mbali nje ya dunia...
Utimilifu wa kifo umebebwa hasa kwenye;
MUUNDO WA MWILI.
Mwili wa kiumbe hai unatimiza kifo kwa kuwa unaweza kuugua, kudhurika na sumu, kuungua, ulaini uliopo kwenye mwili,kwenye hili naomba...
Jasusi ni mtu anayechukua au kukusanya taarifa za nchi nyingine zinazochukuliwa kuwa ni siri bila ya ruhusa. Kwa upande wa anakopeleka taarifa hizo huwa ni faida lakini kwa upande anakozichukua...
MAZINGAOMBWE YANAYOTOKEA UTURUKI.
Tarehe 16-17 mwezi wa saba mwaka huu dunia ilipata mshtuko baada habari za kuwapo
Kwa jaribio la kupindua nchi uturuki kupitia vyombo mbalimbali vya habari...
Kwa wale tuliofanikiwa kukutana na hivi vibinti shujaa atakubaliana na mimi kuwa was one of the best elite people.
Ukipitia guideline ya mazoezi yao unapata picha kuwa ni moja ya vikosi...
MAMBO YA UCHAWI UNAVYOFANYIKA KATIKA VIUNGO VYA UZAZI SOMENI
Tunapozungumzia uchawi hakuna shaka kuwa ni lugha inayoeleweka katika jamii yoyote.
Hivyo hili ni tatizo linalosababishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.