Wakuu salam,
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto nikiwa na rais wa Korea Kaskazini na katika ndoto hiyo rais huyo ni rafiki yangu mkubwa sana, nimekuwa nikiota ndoto nikiwa na marais wa mataifa...
Hakuna hewa, maji, mwanga, giza na kitu cha aina yoyote ile je, unafikiri pangekuwaje? Hali hii ya kutokuwepo chochote unadhani inawezekana?
Kama inawezekana, je inawezekanaje?
Wadau majibu...
Hii ndiyo halisi ya habari Tanzania . Naleta makala hii japokuwa ni ya muda kidogo ili iweze kuingia kweney record. Je ni kwa sababu hii ndiyo maana waandishi wanalamba viatu vya JK ?
HEADLINE...
Duniani kote hakuna biashara yenye faida kubwa kama hii, hakuna biashara yoyote ulimwenguni unayoweza kuifananisha nayo si ya mafuta wala almasi wala silaha za kivita na hakuna biashara nyepesi...
Habari zenu wakuu?
Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lakini nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.
Jambo lenyewe ni;
Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka...
Habari za uzima wakuu!
Watu wengi wamekuwa namaswali kuwa time travel haiwezkani.
Kwa nini
Hii ni kutokana na kanuni za Newton za Mwendokasi.
kuwa haiwezkani kwa kuwa ili kuurudisha muda nyuma...
UTAJIRI TUNACHEZEA TUNAWAPA WAZUNGU LAKINI HILI NI TOFAUTI KIDOGO
Tanzanian Royalty Reports New High Grade Gold Discovery in Tulawaka Area
Tanzanian Royalty Exploration (the Company) is pleased...
Look!
Let's say unazaliwa katika familia ya wapagani (wasiojua Mungu) then unaishi maisha ya taabu na shida na vipindi vifupifupi vya raha.
Unaishi miaka kadhaa (labda 43) hivi, ukiwa...
Habari zenu waungwana,
Naomba mchango wa mawazo yenu kwanza mnisaidie kujua
1.UKWELI ni nn?
2.Tunajuaje kwamba hili jambo ni kweli kbsa?
3.Je tuna uhakika gani kinachozungumzwa ni kweli na...
Kwa siku mbili zilizopita Mwezi umeonekana ukiwa umegubikwa na msalaba kwa ambao huenda mmeangalia.........tena msalaba ukiwa umekoza zaidi
nimegoogle nikaona tu mjadala wa suala kama hili ingawa...
Amri ya 6 inasema Usizini. Amri ya 8 inasema Usiseme Uwongo. Amri ya 9 inasema usitamani mwanamke asiye mke wako.
Hizi amri zinavunjwa sana kuliko kawaida. Unatoka kuungama hata masaa mawili...
Intelligence agencies thrive on impressing politicians and the public with their mystique, exploits real or imagined, and possession of information that supposedly gives them a unique...
Wanandugu,
Je, duniani kuna utaratibu wowote unaoweza kukufanya ukapata Ph.D bila kulazimika kupitia kwanza Masters? Kama inawezekana, ni institutions zipi zinao utaratibu huo?
Shy women usually practice the gesture of leg twine. The gesture involves locking one foot on top of the other under the knee. Usually, women wearing short dresses implement this gesture as a sign...
Habarini ndugu wana jamii forum, mimi si mwenyeji sana na pengine ni mara yangu ya kwanza kupost kwenye jukwaa hili:
Kwa kuanza: kuna dhana ya watu wengi hivi sasa kuishi kwa kutegemea miujiza...
HAKUNA MUNGU??? ZIJUE NCHI ZENYE WAPAGANI WENGI DUNIANI...............
Nimekutwa na tukio la kupotezana na rafiki yangu Mholanzi baada ya kumuuliza DINI yake alikasirika sana.......na nimegundua...
Ghost/ Vanishing hitchhiker ni Urban Legend ambayo ni maarufu sana ulaya na marekani ni story ambayo inamhusisha mwanaume mmoja ambaye alikuwa anaendesha gari lake mida ya usiku mrefu
katika...
Wakuu poleni na shughuli na mihangaiko za hapa na pale,
Wakuu naombeni msaada wetu wa kitaalam kidogo mimi kidogo hapa nashwindwa.Ni hivi;
Nikichukua ile mota inayofua umeme kwenye zile wire za...
habari zenu wana jf..?
Hizi ni fikra zangu juu ya karne zijazo ktk dunia yetu.
SEHEMU MPYA YA MAKAZI YA WATU
kutokana na ongezeko kubwa la watu duniani huenda baadae watu wataanzisha makazi ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.