Habari wana jamii forums!! Hope mko poa, mimi swali langu kwamba.
Kuna hili shirika la anga la Marekani (NASA), kuna ule uzushi ulioenea kwamba mmarekani hajawai kufika mwezini, kama wameweza...
Kati ya vitu ambavyo wamarekani wanajivunia basi ni airborne rangers ..
Hawa jamaa hua wanatua uwanja wa vita kwa kutumia parachute ... Hii inasaidia hata kwa nyakati ambazo adui atakua amezuia...
Mazingira ni nini..?
Ni vitu vyote vinavyomzunguka mwanadamu kama miti,mawe,ardhi n.k.
Kwanini nimesema mazingira yanatujua zaidi ya tunavyoyajua..?
Coz kila tunachotaka ktk mazingira tunapata...
"Energy can neither be created nor destroyed, but it can be transformed from one form to another" ~ Newton’s Law of energy Conservation.
Kwamba nishati haiwezi kuundwa wala kuharibiwa, lakini...
Kwa Nini Watu Wazuri Hupatwa na Mambo Mabaya?
Kwa kuwa Yehova Mungu * ndiye Muumba wa vitu vyote na ni mweza-yote, huenda wengi wakadhani kwamba yeye ndiye anayesababisha mambo yote ulimwenguni...
Ulipokuwa mtoto mdogo, uliwauliza wazazi wako, “Watoto hutoka wapi?” Ikiwa uliwauliza, walikujibu namna gani? Ikitegemea umri wako na utu wao, huenda wazazi wako walilipuuza swali hilo au...
Habari jf
Natumai mpo vema kabisa,, kutokana na mambo machache nitayoyauliza hapa kuhusu suala la dini na imani kwa ujumla ikatokea nitajibiwa vizur pasi na shaka bila kwa wenye kutoa majibu...
Chombo cha anga za juu cha shirika la Marekani la NASA kilichopewa jina Juno kimetuma picha za kwanza za sayari ya Jupiter.
Moja ya hizo, iliyotolewa na NASA Jumanne inaonesha sayari hiyo ikiwa...
Magazeti ya Guardian la Uingereza na Washington Post la Marekani yamechapisha wiki iliyopita habari za siri kutoka taasisi ya usalama wa taifa CIA.Habari hizo zinaeleza jinsi taasisi hiyo ambayo...
Popular sense seem imagination as unreal, BUT it is real.
HOW IT IS REAL?
When a man imagines he/she actually creates a form on the astral plane, and this form is real and objective to...
Namba za simu zinaanza na 1 hadi 3 pale juu mwanzoni, lkn calculator zinaanza na 7 hadi 9, nimechunguza mara nyingi nimekuta hii kitu, iko ikoje hii wana jf?
Kwanini watu wengine huwa na machale juu ya jambo baya liwezalo kumtokea au tayari linamtokea wakati huo huo. Hata wengine utasikia akisema "Moyo wangu unauma" wakati huo huo anadai kumkumbuka mtu...
Naamini mko poa.
Leo hebu tuendelee kuzifahamu sayari zilizoko kwenye mfumo wa jua letu, na tutaiangalia kiundani zaidi sayari ya Saturn hebu tuanze.
1. Ni sayari ya 6 kutoka...
Wiki kama mbili zilizopita nilikuwa naangalia kipindi cha Simbeye pale TBC1, mmojawapo wa wazungumzaji alikuwa ni huyu Profesa. Kwa kweli nirifarijika sana jinsi huyu bwana alivokuwa akitetea...
US honours Kilango
DAILY NEWS Reporter, 26th March 2009 @ 10:39
The United States embassy today awarded Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, Mrs Anne Kilango...
Kwa muda mrefu nimeendelea kushangaa intelijensia ya wanyama. Kwa muono huu wa picha hapa, kwamba kuna viumbe hutanguliza watoto na wengine hukaaa sambamba na wengine hukaa nyuma ya watoto wao...
Habarini wanajamvi, kwanza kabisa niwapongeze wale ambao hawalali usiku na mchana kwa kazi kubwa na nzito ya kizalendo kuhakikisha Taifa letu lipo Salama kabisa.
Siku za karibuni kumetokea...
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imebainisha kuwa hadi kufikia Juni mwaka huu, shule za msingi zilikuwa na walimu wapatao 58 wenye Shahada ya Udakatari wa Falsafa (PhD) wakati walio na Shahada...
Ardhi inasemeshwa na inaelewa na inafanya kile ambacho imeambiwa najua huwezi amini hili ninalo kuambia ila ni rahisi sana kuamini kuwa kuna jamii fulani wao hawazai kabisa, kunajamii wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.