Ndoa nyingi huvunjika, na wapenzi wengi huachana kabla hata hawajafunga ndoa. Kabla ya ndoa kuvunjika na wapenzi kuachana hutokea visa vingi vya usaliti, ukigeugeu na chuki.
Mapenzi nini? Mahala...
Is there such as thing as "human nature," and if so, is it accurate to state that it is selfish?
Human nature" is an ill-defined concept. By my best understanding, it can be thought of as a...
Nimetafakari kwa kina zaidi juu ya nguvu iliyopo ktk ubaya(nimejikita kutafsiri dhana ya ubaya kwa kadri jamii zetu zinavyoamini) nikaona dhahiri kuwa kwa kiasi kikubwa ubaya una nguvu zaidi ya...
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya...
Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza...
Wadau mimi ni mmiliki wa eneo lililo kwenye mradi wa upimaji viwanja ,kwa sasa manispaa imeanza kulipa fidia ambayo wengi wamelalamikia,kumemua hakuna ufafanuzi mzuri kuhusu fidia ..naomba msaada...
Huyu ndie aliaminiwa ni Mungu Mwezi ndio asili ya kuwekwa Alama za Mwezi kwenye Nyumba za Ibada hadi leo hii... ufukunyuzi unaoendelea utaweka wazi kila kitu kuwa Watu wanaabudu Masanamu kwa hisia...
Wataalam kadhaa wa mawasiliano wameonya kuwa application ya Facebook hutumiwa na wadukuzi kusikiliza mazungumzo ya watu muda wote kwa siri kubwa, App hiyo inadaiwa kutumia simu za watu kudukua na...
25 Cutting Edge Firms Funded By The CIA
It's no secret the Central Intelligence Agency has an investment firm that funds startups that could have a big impact for the Agency.
If there is a...
Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar...
Salamu wakuu nimekua nikijiuliza swali hili kwa mda sasa bila kupata jibu sahihi,ila kwasababu humu kuna watu wenye uelewa mkubwa wa mambo zaidi yangu naomba mnisaidie akili ya mwanadamu inakaa wapi?
Kwa lazima kutambua kuwa "ndoto ni maisha ya rohoni" yawe mabaya au mazuri lakini yanategemea sana matendo yako na mind set yako juu ya matendo.
Siku zote matendo mabaya hupelekea ndoto mbaya...
Nimeonelea nipost mada hii kwa kiswahili ili wote wanaojua lugha hii wafaidike lakini katika kuchangia tutumie lugha yoyote inayotumika hapa jukwaani . Nilipata challenge katika ule uzi wa UFOs...
Habari za hapa.
Nimefanya research juu ya ukweli wa dini na uwepo wa Mungu hasa Mungu anaeongelewa na wakiristo na waislamu.
Ktk utafiti huo nimegundua mushkel mwingi SANA kuhusiana na dini hizo...
The 8 most elite special forces in the world
Elite Special Forces are some of the best-trained and most formidable units a country can boast.
They go where other soldiers fear to tread, scoping...
Heshima kwenu viongozi napenda kuwasalimu wote. Na zaidi wale waaminio hawa waaminio napenda kuwataka radhi kwani swali langu laweza kuwakera. Naam swali hili hata Mimi sikupenda kuliuliza lakini...
Wakuu Habarini Za Majukumu! Naombeni Mnijuze Kuhusu Sare Za Majeshi Ya Ulinzi Wa Mipaka Ya Nchi (Defence Forces) Kwanini Sare Za Nchi Zote Zina fanana (Mabaka-baka) Au Ni Moja Ya Sheria Za Umoja...
Watu wengi huwa wanauliza swali hili mara nyingi sana kama kupinga au kujaribu kuonyesha kuwa hakuna Mungu lakini mimi leo nataka nikwambie Mungu yupo na ndiye aliyezifanya mbingu na nchi ktk...
natambua kuwepo na magomvi mbalimbali kwa sababu ya dini tofauti na hata wafuasi wa dini moja kupambana. lakini kusingekuwapo na dini kabisa, haka ka amani na ka haki kadogo na ustawi na maendeleo...
Scopolamine ni madawa ya kulevya yanayotengenezwa kutokana na ungaunga wa mbegu za matunda ya mti unaoitwa kitaalamu "borachero tree". Miti hii inapatikana kwa wingi huko Bogota, Columbia. Baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.