WEISHAUPT!!! Alikuwa nanguvu sana ndani ya Illuminati.
Alizaliwa February 6.1748, nani mtoto kutoka kwenye familia ya kiyahudi. Na baba yake alifariki mwaka 1753. Kijana huyu aliingia katika...
Soma upate Ufahamu na Maarifa. Kama mmewahi kupitia makala moja jamiiforum iliandikwa vitu sita ambavyo havijaumba na mungu. Nakuonya usije ukakufuru bure. Vitu vinavyoonekana na visivyo onekana...
U hali gani mwana JF?
Ningependa kujua faida au thamani ya mnyama aitwae Kakakuona katka maisha na mizunguko ya binadamu!.
Nawakaribisha wataalam jamvini..
Habari wana jamvi,
Inafahamika kuwa hapa duniani kuna nchi ambazo zinatawaliwa kifalme, mtawala akiwa mfalme au malkia. Watawala hao hutoka katika ukoo mmoja tu na ulithishana ukuu huo.
Naomba...
leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja
inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano
mwanaume-mwanamke
ugali-wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza...
Kamanda mwandamizi na mtaalamu wa Milipuko wa kundi la Hezbollah Mustafa Badreddeen ameuawa juma lililopita kufuatia mlipuko mkubwa unaoonekana kuwa ni shambulizi la anga la Israel katika jiji la...
Ninafahamu akili aliyonayo binadamu inamfanya kupambana na mazingira yanayomzunguka na kutokana na mapambano hayo, ndiyo maana uvumbuzi wa vitu mbali mbali umetokea.
Binadamu tunapojikuta tupo...
Wakuu mm napenda sana kuangalia series za intelligence na kusoma vitabu vya intelligence. Humo hasa kwenye vitabu unaonyeshwa usaliti unaofanywa na wanausalama wa Nchi husika pamoja na mambo...
I convey my regards to all distinguished ladies and gentlemen and the honorable in here!
As humans, our main lines of defense are the two, the eyes and the ears. both given in pairs they mark...
I have been reading the arguments of people who deny the Existence of God and I recognize their counter-arguments do not hold water, in fact, they are mostly confusing and illogical . Now, the...
A typical dictionary definition of intelligence is “the capacity to acquire and apply knowledge.” Intelligence includes the ability to benefit from past experience, act purposefully, solve...
Askari wa JWTZ mwenye asili ya Rwanda adaiwa kutoroka Tanzania!
Jeshi limesema litatoa taarifa zaidi kuhusu mwanajeshi huyo anayedaiwa kutoroka na nyaraka muhimu za jeshi!!
Source: Mtanzania...
Sidhani Kama Mungu Aliamua Kutuweka Katika Sayari Ya Dunia Halafu Sayari Nyingine Zibaki Kama Mapambo.
Ninachoami Kwenye Hizo Sayari Nyingine Kuna Viumbe Wanaishi Na Either Wana Mungu Wao Au Ni...
Egypt is the most powerful country in Africa according to the index that measures a government’s military strength.
Out of 30 African countries, the GFP said Egypt also ranked 12th out of 126...
Raisi wa Algeria ameivunja idara yao ya Usalama wa taifa.
Inasemekana ni moja kati ya Idara zilizokuwa na nguvu sana hapa Barani Africa.
Hii ilianza baada ya kumtoa mkuu wa Idara hiyo ambaye...
Wana JF natumaini muwazima.
Kama tujuavyo kwamba zamani katika taifa la Ethiopia kulikuwa na Malikia alie julikana kwa jina la Malkia wa Sheba au malikia wa Kushi.
Katika biblia tuna msoma akiwa...
Kuna madai ambayo yameshakuwa yakitolewa hapa na watu mbali mbali na pia nje ya hapa kuna madai ya aina hiyo ambayo yamekuwa yakitolewa na watu mbali mbali wakimkosoa Mungu kwamba hana Upendo...
JF
Nimesoma hii essay/short story ambayo inasemekana imeandika na Jules Verne mwaka 1889 japo wengine wanasema imeandikwa na Mwanae Mitchel Verne lakini idea ikiwa ni ya baba yake, akipredict...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.