Your body is not you. It is a mechanism and organism of nature that you live in, to learn and master. Much like you sit in a car and operate it, your consciousness sits in and out of your body...
Heshima kwenu wadau, nijuavyo mi ni kwamba binadamu ana mihimili mikuu mitatu. Kwanza ni roho, pili ni mwili na tatu ni nafsi.
ROHO nafahamu ni ile pumzi ya uzima kutoka kwa mungu mwenyezi...
Habari za jioni wana jamvi,
Mimi sio mwandishi mzuri, ila ninachokiona, kusikia na kutizama duniani ni dhahiri kwamba Unabii wa Daniel sura ya 2 unatimia.
Wakristo wengi wanakifahamu kitabu cha...
Wakuu habari
Kuna maswali huwa sipati majibu nikayaona ni sahihi naomba tushilikiane kupata majibu tafadhali
1. Kama usingekuepo wewe nafasi yako ingechukuliwa na nani? Kama isingechukuliwa mambo...
Habari za humu ndani wakuu, Naomba kujuzwa kwa ukweli wa Kidono au Vidono.... "hapo zamani nimekuwa nikisikia huyu kachanjiwa vidono hawezi kufa kirahisi" hasa kwa wezi au majambazi.
Kidono...
Habarini wakuu..
Leo ninataka sote kwa pamoja na kwa hoja za maana tuzijadili sababu za kiinteligensia juu ya maisha ya binadamu wa karne hii na karne zijazo.
Kama mada tajwa hapo juu...
Mmabibi na mabwana natanguliza salam, kwa wale waliofunga swaumu makbul walio wagonjwa Mmungu awajazie afya tele.
Leo naomba tupeane habari kuhusu hirizi ya simba hili jambo toka nikiwa mdogo...
Naanzisha Thread Hii kujadili makundi makuu manne ya watu mahala popote pale unapokua
Tabia hizo ni kutawala (Choleric – Dominance), mhamasishaji (Sanguine - infuluencing), asiyeyumbishwa...
Ukitoa lugha za afrosemitic languages kama vile Amharic - Wikipedia, the free encyclopedia na Egyptian language - Wikipedia, the free encyclopedia ambazo kiujumla hizi zipo kwenye kundi moja na...
Niliwahi kuwaza na kujiuliza hivi wakati mababu zetu wanapokea ustaarabu mpya/dini walikuwa na taratibu zao za kuishi na kila taratibu zilikuwa na mazingira ambayo watu wanaishi chini ya kivuli...
Huwa na kawaida ninapomuona kiongozi anayelindwa kuangalia walinzi wake, huwa napenda kwa sababu nawakubali hao watu kwa umakini wao na hadithi tunazosikia kuhusu uhodari wao. Nawapongeza sana kwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni kwamba Binadamu tunapozaliwa tunakuwa na Lugha yetu ya asili ya mawasiliano, licha ya kuwa tunakuwa wadogo, lakini katika udogo huo huo huwa tunawasilia...
hello members!
i trust you are all doing great.
What normally lead us into presumptions and make us conclude things differently regardless of being looking at the same elements?
lets share this...
Ni sauti ya Raisi wa Taifa la Marekani ikigonga kuta za maabara inayoelea angani Yani international Space station iliyo umbali wa km 400 kutoka uso wa dunia na inazunguka mile 5 kwa kila sekunde...
Mara nyingi huzuka mjadala wa umuhimu wa lugha ya kiingereza inapotokea Mtanzania kuhojiwa kwa kiingereza na akawa hajielezi vizuri kama wanavyojieleza ndugu zetu wa mataifa mengine ya kiafrika...
Hii ni kozi kabisa niliisoma ikisema kwamba ukiona unapewa jina la babu yako ni imani ya kale kabisa kwamba wanaokufa huwa wanarudi tena na wewe ndiye yule babu au bibi aliyekufa amerudi ingawa...
Mwalimu Mbobezi wa Saikolojia akiwa anafundisha kuhusu mahusiano, aliwauliza wanafunzi wake. Kwanini tunafokea na kukaripia tunapokuwa tumekasirika? Kwanini watu wanafokeana na kukaripiana kwa...
Ndege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya
Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria
Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa...
Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua...
Inasemekana Kwamba Kuna Tundu Kubwa linalozidi Kutanuka Kila Uchao Angani na wanazuoni wanazidi kuchomba wengine wakienda mbali kabisa kwa kusema ndilo tundu aliloitia Yesu akipaa zake mbinguni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.