Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Tafsiri ya bahati kwa watasha ni tofauti na yetu sisi waswahili..wao wanaamini "lucky happens when preparation meets opportunity" Nikitafakari hii inaleta maana kwangu unajua kizazi hiki chetu...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
14 Reactions
253 Replies
7K Views
nilisoma hii ishu kwenye kitabu The dark side of Nyerere cha Ludovick Kaijage. baadhi ya sehemu anasema. walivyokutana. hapa akamuibia documents. Hapa anakuta vitu vyake kwenye mikono salama.
6 Reactions
94 Replies
18K Views
Habari wana JF, Kuna kitu kinanichanganya hapa; Nikiangalia Mwanzo palikua na wanadamu wawili tu(Yaani Adam na Eva) na nnachojua Dunia haikua na binadamu mwingine yeyote alieumbwa zaidi yao hao...
5 Reactions
57 Replies
14K Views
Salama wana jamii, amani na iwe juu yenu. Nimependa leo nije na uzi huu juu ya sifongo. Na siki. Jambo ambalo halijazungumziwa sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth. Pia kuna jambo baya...
26 Reactions
288 Replies
46K Views
Habari wana JF Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu...
6 Reactions
93 Replies
13K Views
Mtafiti Huyo ni :Nelson Jacob lushasi . Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani...
13 Reactions
66 Replies
11K Views
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi...
128 Reactions
2K Replies
67K Views
ISRAEL vs IRAN - 02 Sehemu ya 2 Na Dr. Chris Cyrilo Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyoondoa utawala wa Shah, na kuifanya Iran kuwa chini ya utawala wa kiislamu wa dhehebu la Shia, yalifuta ndoto ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The wonderful Password,Give me a Pasword,a word of middle East. A wonderful Number,A number of Pale Ni katikati ya Yule Muungwana aliyebalance idadi yao juu na Chini yaani alipiga tatu bila...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Shimo la mvuto liko katikati ya bahari kilomita 1,200 kusini-magharibi mwa Kanyakumari (a.k.a. Cape Comorin), ncha ya kusini kabisa ya bara Hindi karibu na Sri Lanka. Bahari ya Hindi Geoid Low...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
15 Reactions
62 Replies
4K Views
Utangulizi Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya miji inayokua kwa kasi Afrika, inakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano wa magari. Hali hii husababisha kupoteza muda mwingi, kupunguza ufanisi wa...
4 Reactions
3 Replies
593 Views
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
13 Reactions
135 Replies
5K Views
Niwasalimu ndugu zangu! Tuendelee kuishi maana tupo kwa muda na sababu,vyote vitaisha. Dunia na ulimwengu ni vitu viwili tofauti Dunia ni mifumo ya wanadamu na ulimwengu ni UKAMILIFU wa maarifa...
9 Reactions
94 Replies
3K Views
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu. Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wana ndugu mnaendeleaje na vyuma kukaza Moja kwa kwa moja kwenye pointi leo naomba tukumbashane kidogo mtu aliwahi kuvuma sana hapa duniani Enzi za miaka ya 1970 - 2003 miaka hiyo...
56 Reactions
211 Replies
46K Views
Freemasons ni kikundi cha siri kinacho ratibu na kuongoza kila kitu katika hii dunia. Kikundi hicho cha siri huratibu mambo yake kwa kushirikiana na baadhi ya wawakilishi wake wachache katika kila...
12 Reactions
63 Replies
4K Views
Kuna sababu nyingi za kiuchumi,Kiintelijensia, Conspiracy, Kisiasa, Kidini hata kihistoria kwa nini US ni Taifa kubwa na hana mpinzani Duniani. Kuuzwa kwa ALASKA March 30, 1867 ninatafsiri kuwa...
43 Reactions
96 Replies
27K Views
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu...
41 Reactions
1K Replies
281K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…