Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Salaam shalom!! Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee, Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Hawa waRoma ni watu wenye akili sana, imagine walianzisha kanisa la Roman Catholic, kanisa lenye waumini wengi duniani tena wenye misimamo mikali. WaRoma wamejaribu kufika kila kona ya dunia...
6 Reactions
14 Replies
907 Views
Hua najiuliza Sana, na hii nimejiuliza zaidi baada ya kujua asilimia kubwa ya wananchi nchini Netherlands hawana DINI na Hawaamini katika uwepo Mungu Baada ya kuona Shomvi Haji Manara akiranda...
1 Reactions
11 Replies
572 Views
Kama inavyojulikana ibilisi alikuws ni jini miongoni mwa kundi la malaika,na kwa kuwa majini yanasifa ya kuzaliana basi bila shaka ibilisi na yeye alikuwa na wazazi na ndugu pia, na kama...
11 Reactions
216 Replies
38K Views
Jerusalemu Katika Siku za Mwisho “Zekaria 12:2 Angalia, mimi nitafanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kuyumba-yumba kwa watu wa kabila zote, wazungukao pande zote; tena kitakuwa juu ya Yuda pia...
26 Reactions
71 Replies
10K Views
Habari wakuu, Ningependa kuelimishwa haya machache kuhusiana na hii imani/dini ya Rastafarian (nikipata kujuzwa na ya ziada ntashukuru sana). 1. Naskia rastafarian hawanywi pombe hivi Ni kweli...
8 Reactions
43 Replies
5K Views
Twime tubite!! Dunia yetu imejaa taarifa ambazo siyo sahihi japo ni za kweli, kwa kuwa siyo za kweli basi zimewekwa kwenye mifumo ya Elimu na Media Ili lengo lao Liwe timilifu. Binafsi nikiwa...
8 Reactions
14 Replies
778 Views
👉HUKUZALIWA 👉KUJA 👉KUOKOLEWA 👉NA MTU Hakuna mtu yeyote anaye zaliwa(ku-exsist on this Earth) hapa Duniani ili aje kuokolewa ama kusaidiwa na mtu yeyote, Upo hapa Duniani ama tuite upo Katika huu...
11 Reactions
13 Replies
1K Views
Twime tubite Nafahamu Yale niliyochagua kuyafahamu kwa kiwango Cha ufahamu wangu, Ili hayo hayo yawe mwanga kwa wengine, hasa Katika dhana ya udadisi wa mambo. Hakuna MTU ambaye hajawahi kusema...
2 Reactions
10 Replies
644 Views
NGUVU ZA ULIMWENGU. Nguvu za full moon. Full moon ya mwezi June itakuwa kuanzia tar 22 Hadi 24 . Mambo ya kufanya . 👉Kuachilia. Kuachilia ni sehemu ya kujiponya mwenyewe na kutua mizigo na...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
THE REAL EYE REALIZE (Jicho la kweli hutambua) 👉"Eye is the window to the soul" 👉"The light of the body is the Eye." "Eye is the window to the soul" kwa tafsiri ya kiswahili ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Twime tubite 'Hakuna mfano nyuma mfano ,nyuma ya mfano Kuna Imani. -------- Historia inaenda kujirudia Tena, wachache watakaosalia ni wale ambao hawajali sana watu wanawaonaje au wanawachukuliaje...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Mada yahusika hapo juu. Sina sababu ya kurudia kufafanua hayo maneno hapo juu ila kuna kitu ninewaza baada ya kupitia post moja ya mdau. Hizo variable anazo binadamu, ila...
3 Reactions
9 Replies
502 Views
KISWAHILI ni wazugaji na wafichua habari Ni watu maalum lakini wa kila jinsia umri na kaliba... Kati yao wapo mpaka wezi matapeli, wakabaji na wachawi.. Lakini kila walipo wapo kwa lengo...
142 Reactions
788 Replies
153K Views
Roma bado inatawala dunia: ingawa ilianguka mwaka 476 AD ila athari zake zilikula dunia yote, ndo maana primary tulisoma no. za Kirumi na hata saa na Kalenda tunatumia za Kirumi na mataifa mengi...
11 Reactions
253 Replies
40K Views
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi. Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya...
15 Reactions
47 Replies
4K Views
SEHEMU YA I Wasalaam, Miaka ile wakati ningali bado vidudu nilikatiza mitaa fulani kule Songea nlipokwenda kumtembelea mjomba (Marehemu) wangu mlevi. Basi mida ya kila jioni tungevuka...
11 Reactions
138 Replies
15K Views
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa Hivyo nawapa darsa za Quran...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Leo naomba tuangalie na kujiuliza na kujijibu baadhi ya maswali yanayoonekana kuwatatiza watu wengi. 1. Mimi ni nani?; Mimi ni nafsi, mwili na roho. 2. Nimetoka wapi?; Nimetoka kwa Mungu Mkuu...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa wiki kadhaa sasa, Watanzania wamekuwa wakisikia mengi ya kushangaza, kusikitisha, na kukasirisha kuhusu wimbi la ushoga nchini na kwingineko. Mbali na kinachoonekana kuwa kukithiri kwa matendo...
18 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…