Kwa bahati mbaya jukwaa hili limekuwa so complacent kujadili non issues na kuacha mambo ambayo ya muhim kwa nchi hii na mijawapo ni hili la National Security pamoja na National Interest. Natumai...
Habari wadau,
Jana muda wa jioni nikiwa pale ubungo mataa, kuna gari ilikuwa inatoka kimara na kuelekea manzese huku ikipiga king'ora kama vile ambulance. Lilipokaribia pale mataa nikaona...
TOFAUTI KATI YA AKILI YA MWANAMUME NA MWANAMKE:
Zifuatazo ni baadhi ya tofauti kati ya akili ya mwanaume na mwanamke,tofauti ambazo kuzijua kwake kunaweza jaalia mafungamano yetu kuto kuwa na...
A team of British scientists is convinced it has found proof of alien life, after it harvested strange particles from the edge of space.
The scientists sent a balloon 27km into the stratosphere...
Imekuwa ni jambo la kawaida kufika ofisi ya serikali na kukuta huduma zilizoandaliwa kwa ajili ya "wahudumiwa" zina mapungufu yaliyoachwa bila kuwekwa sawa kwa makusudi ya wazi.
Kwa mfano...
Wakuu natumai mpo vema,
Samahani naomba wale mabingwa wa mambo ya kijeshi nakijasusi wanidokeze kidogo kama hapa nchini kwetu tuna utaratibu wa kuwachukuamajambazi katili walenga shabaha...
Habari zenu, nilikuwa nawaombeni mnisaidie kunipa ushauri kuhusu viwanja vya kigamboni (Mjimwema) nataka kununua kiwanja huko. Lakini nafikiria hiyo kigamboni new city project ipo kwenye mjimwema...
Miss Malala Yousafzai,
I am writing to you in my personal capacity this may not be the opinion or policy of Tehreek-e-Taliban Pakistan or other jihadi faction or group.
I heard...
Idadi kubwa ya askari polisi FFU imepelekwa wilayani kilindi ili kuongeza nguvu kwa askali wenzao ambao inaonekana kuzidiwa nguvu na kundi lililofanya vurugu iliyosababisha kujeruhiwa kwa risasi...
Kuna watu wanapenda kutembelea maeneo yanayozunguka majeshi hasa JW huku wakitembeza vitu mbalimbali kama wamachinga. Kuna kijana nilikutana naye maeneo ya kaboya akitembeza vyombo original na vya...
Habari Zenu,
Habari yenye nimeisoma inasema kama ndugu yetu moja, Luteni wa JWTZ kule DRC amefariki leo (October 27, 2013) asubuhi saa 11h10. JWTZ(MONUSCO - UN Brigade) ilikuwa inapeleka askari...
An amazing elaborative explanation on the existance of ghosts through a scientific perspesctive, A MUST READ!
Here is the link howscience | all about the "how" of science
Nimeifuatilia kwa Muda kiasi nyuzi hii https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/530789-mungu-hayupo-nahitaji-majibu-ya-maswali-haya-ili-nikubaliane-na-kiranga.html ambayo imekutanisha watu...
ALHAMISI, SEPTEMBA 26, 2013 04:09 NA SARAH MOSSI
*Yajigamba kufanya mashambulio muda wowote
*Watanzania wapewa mafunzo ya ugaidi nje ya nchi
*Polisi nchini wasema vyombo vya ulinzi viko macho...
Kumbukumbu zangu zinanituma kuamini hivyo. Katika Afrika ni wachache wamewahi kupata tuzo hii yenye hadhi nadhani kushinda zote. Kapata Mandela, Tutu, Wathari, n.k. Nyerere hakuwa na mchango...
Habari Great thinkers
Ninajua kila mtu anaamini dini yake na kuamini kila kitu kipo sahihi kuhusiana na mambo yanayohusu dini yake. Lakini mimi ninasikitishwa sana na kuchokozana baina ya...
Salaam wanajukwaa wenzangu.
1) Kwa kuzingatia kuwa moja ya maudhui mtambuka ya Jeshi la Polisi (PT) ni kulinda usalama wa RAIA na MALI zao.
2) Sote tunajua na kuona taasisi na maofisi (mfano...
Hey JF fans, it's for our good if we 'copy' what our Kenyan neighbors are doing. Read on!
Source: Sabahi Online
By Rajab Ramah in Nairobi
October 22, 2013
Amid scathing criticism over its handling...