Nimesema maneno hayo yaliyopo kwenye kichwa cha habari ya makala hii kutokana na namna ambavyo watu wengi walivyojitokeza kukosoa uteuzi wa Profesa Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na...
Tangu sakata la ujenzi wa jengo refu la ghorofa 19 lililopo karibu na Ikulu yetu kuanza kuwa gumzo hapa nchini, binafsi nimejitafakarisha mambo mengi kichwani mwangu. kitu cha kwanza ni kwamba...
Wengi tunafaham mabingwa wa upelelezi duniani. Wakiwemo Pakistan ,Israel, India na China (Asia). Pia U.K, FRANCE na GERMAN (EUROPE) U.S.A (AMERICA). Vipi kwetu barani Africa?
Wakuu tutafakari utabiri huu;
Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na...
Mheshimiwa rais kufuatana na tangazo lako muhimu naomba nikutaarifu kuwa madiwani wako wawili katika baraza la madiwani la halmashauri ya bukoba ni wanyarwanda. Na kwa hili naomba nifunguke kabisa...
1.
Do What you love, and do it
often.
If you dont like something,
change it.
If you dont like your job,
quit.
2.
If you dont have enough
time, stop watching tv.
3.
If you are looking for the...
Source: Amka na BBC (20/8/2012) monday
...anasema viongozi wa upinzani ndio wanaoongelea maswala ya vita dhidi ya wanyasa concern mgogoro.
AMESEMA KATU TANZANIA HAITAPIGANA NA MALAWI.
My...
Tangu jana nimekua nikiumiza Kichwa kwakua niliona BATA (Wanaofugwa) akimgomea mtoto mwenye umri kama wa miaka saba kutii amri ya kuingia ndani kwao. Yule mtoto akimchapa yule bata fimbo, yule...
Guys we have a lot of believes in this world but it costs nothing to realize the reality that only Science is the true messenger of God others are only imaginable things without truth in them...
Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM
Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are...
Katika sakata la kuonekana kuwa suala la mabomu ya Arusha ndio kwanza linaaza, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, amesema uchunguzi wa milipuko hiyo(Olasiti na Soweto) unaendelea na hakuna atakayebainika...
Kwa kawaida kesi za ugaidi zinawahusu watu hatari zaidi wanaoendesha vikundi hatari zaidi vya kutekeleza na kufadhili UGAIDI.
HAKUNA UBISHI KUWA HATA ASKARI WA MAREKANI AKISIKIA FLANI NI GAIDI...
Mimi ni Mtanzania. Ni raia wa kawaida kabisa! Napenda kutoa Ushauri huu wa Jeshi la Polisi.
1. Nalishauri Jeshi la polisi liachane na ushaabiki wa vyama vya siasa. Liache kuingilia shughuli za...
Hello Great Thinkers wa JF,
Kwanza natanguliza samahani kwa yeyote nitakayemkwaza na title yangu pamoja na content ya thread yangu. Niseme tu kwamba hilo sio kusudi langu. Lakini wanajamvi naomba...
Mimi najiuliza hivi hawa askari wa vyeo vya chini wanaodaiwa kupokea amri au maagizo kutoka kwa wakubwa wao wa kazi na wao kutekekeza mfano,kuua au kujeruhi kwa risasi,kuua kwa kutumia bomu la...
Tunaishi katika dunia iliyojaa uhalifu. Uhalifu wa aina mbalimbali kuanzia wizi wa kutumia silaha, wizi wa maarifa yaani utapeli na hata wizi wa kutumia kemikali na teknolojia. Hali ya uhalifu...
Nimewaza jambo,UWT wangetakiwa kupenyeza watu wao wakti huu wanyarwanda wanaporudishwa kwao. Hii itawafanya wawe raia na itakuwa uwekezaji mzuri sana in the longrun. Watu kama PK wanapaswa kuwa...
Nimekuwa nikihuzunishwa na matukio mengi yanayoendelea kutokea kila siku kuhusiana na tatizo ambalo
limekuja pamoja na maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ambapo watu wengi hasa wenye...
Ndugu wana JF tumeshuhudia matukio ya Umwagiwaji wa Tindikali kwa watanzania wenzetu na sasa imevuka mipaka hadi kwa raia wa Kigeni. Tukiorodhesha matukio ni mengi miongoni mwa matukio ni kama...
Binafsi, kama ilivyo kwa wananchi wengi wa nchi hii, naendelea kusikitishwa na tabia ya Polisi kutumiwa na Serikali kwa maslahi ya CCM. Tabia hii siyo tu inawakosesha wengine haki, bali inafanya...