Haya wapendwa wasomaji wa Jamii Forum,
Mimi siyo mchokozi, ila napenda kutoa maoni juu ya haya yafuatayo:
Baada ya kushuhudia makanisa kuchomwa, Dar es Salaam na Zanzibar na kwingineko, na...
Hebu tujifunze jambo hapa ili tusitatizike linapotokea.. Nazungumzia kuhusu kuua.. Kutoa uhai wa mtu
1.Ameurter killers.. Wauaji wasio na ujuzi... Huacha alama huua hovyo sio wataalam.. Ni watu...
CountCapone
Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani
1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika
1885-1919...
kwa muda mrefu nimekuwa najaribu kujiuliza asili ya binadamu dunian hasa ni ipi kuna binadamu wa aina tofaut kwa maana ya rangi, muonekano na sifa zao na hata maumbile na nimejaribu kutafakar...
Amani iwe nanyi!
Kwa muda sasa kwa baadhi ya wale wanaokaa maeneo ya Ngorongoro kumekuwa na maneno ambayo
tungeomba kupata ufafanuzi kuhusu nani hasa anahusika na NCAA (Ngorongoro Conservation...
Wanajamvi,
Hebu nisaidieni kufahamu faida za hii meditation katika maisha yetu ya kawaida. Nimejaribu kuifanya kwa miezi mitano sasa sijaona tofauti yeyote ya maisha yangu kabla ya meditation na...
Introduction
Illusion life ni maisha yasiyo halisi ambayo yametengenezwa kwa program maalum iliyopachikwa kwa kiumbe na kumfanya kiumbe huyo aone Anaishi maisha halisia kumbe sio kweli ni program...
Wanaoamani Mungu hutumia uumbaji kama hoja kuu ya kuamini Mungu yupo, siwalaumu because after all bila uumbaji tusingekuwepo kubishana hapa kama mungu yupo au la! Na uwepo wake usingekuwa na...
Msukule ni mtu ambaye anahesabiwa amekufa, lakini ukweli ni kuwa mtu huyo huwa amechukuliwa na Mchawi ili amtumie katika kazi zake maalum au amtumie katika mambo yake mengine anayoyataka.
Mchawi...
Umewahi kusikia juu ya mikataba ya kiroho? Inachukua sehemu kubwa katika kuamua jinsi tunavyojiumba kama watu tukiwa hapa Duniani.
Kabla ya kila kuzaliwa kwetu duniani, tumepewa chaguo. Ni chaguo...
According to the Koran;
Koran 2;191
"Slay the unbelievers wherever you find them."
Koran 3;28
"Muslims must not take the infidels as friends."
Koran 3;85
"Any religion other than Islam is not...
Gwaiji wa molecular biology, ana miaka 94. Aalifanya ugunduzi muhimu kuhusu muundo wa DNA na usambazaji wa taarifa kupitia nucleic acids katika DNA mwaka 1953, akashinda tuzo ya Nobel mwaka 1962...
I
Kulikuwa na ukimya wa kutarajia. NILIWEZA KUHISI watu wakinitazama. Kisha swali fupi, kali, lenye kelele. Nyayo za mshikaji wangu zikija kwa kasi kuelekea kwangu. “Huoni?” Aliuliza...
Sijui why leo nipo kwenye mood ya kuongelea hii Topic , I hope itagusa watu na kuwasaidia kuchukua hatua. Mara nyingi tumekua tukiangalia Film’s za kutisha huko Hollywood kuhusu hizi haunted...
Habari wana Jf poleni na Majukumu ya kikazi, Niende moja kwa moja katika maada yangu kuwahusu Freemasons
Nadhani ni wakati mzuri juu ya hawa Masonic kuwa wawazi pengine wanaweza kua huru na kile...
Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila...
THE GIANTS (SON OF GODS) MELANATED BEINGS ARE WAKING UP FROM THE GREAT SPELL.
MWANDISHI; JAMES LORDY KASHIRINA.
[emoji3544]TAFADHARI KAZA SURA USOMAPO POST HII
[emoji117]Kutambua siri hizi...
Miaka ya nyuma kipindi cha mediaval na reformation of church, kanisa katoliki lilikumbwa na misuko suko mbali mbali iliyolitikisa kanisa kweli kweli. Mojawapo ikiwa ni kuanzishwa kwa kanisa la...
Kwa Afrika, Ujasusi wa "Kidola", Tanzania ndio mwamuzi wa siasa za Afrika. Hil linatazamwa tangu vuguvugu la uhuru wa Afrika mpaka kunako Karne ya 21. Kwa lugha laini ni kuwa TISS ndio idara yenye...
Bonobo!
Canis Lupus Familiaris ndiyo jina la hii specie tunayoijua na kuipenda..Almaaruf kama Mbwa!!
Wengi mkiulizwa mbwa wametokea wapi kwa haraka haraka mtasema waliumbwa na Mungu.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.