According to sauti ninayopigaga nayo story kichwani, Mtu yani mimi na wewe tunakamilishwa na sehemu kuu mbili sehemu, sehemu ya kwanza ni UZIMA (UMUNGU/KUSUDI) na sehemu ya pili ni UHAI...
Kuanzia 1999 mpaka sasa zaidi ya miaka 16 nimekuwa nikifanya utafiti wapi yalipo makazi ya Mwenyezi Mungu Kisayansi na Kutumia Vitabu vitakatifu hasahasa Biblia Takatifu nimepata majibu pasina...
Dunia yetu inapitia mageuzo mbalimbali yenye maendeleo. Kuanzia mifumo ya kijamii, uchumi na maendeleo mpaka teknolojia.
Kwa hakika, tangu kuanza kwa dunia takribani miaka bilioni nne hivi...
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi.
Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa...
Salute..
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu...
Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko...
Mates,
Wakati wengi tukiwa tunajua kwaba ubongo wa mwanadamu umegawanyika sehemu tatu ambazo ni ubongo wa mbele,katikati na nyuma tu, kuna wataalamu wa masuala ya akili (Neuorologist) na wataalamu...
Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar...
Fikiria kidogo na namna dunia ilivyo na namna unavyoiishi.
Ni kama (VIDEOGAME) isiyo na maana wala uhalisia wowote katika maisha halisi.
Hauwezi nielewa kama wewe ni mtu usiyependa ishughulisha...
#MASTORISTORIYAMWALIMUNAMZEEABDALLAH
Mwanangu tambua maisha yako ya leo yaweza yasiwe kama ya kesho! Ishikilie leo, ifurahie leo maana nani aijuaye kesho itakuja na nini?
Juzi tu nilikuwa...
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la...
Mpaka leo ukiwauliza waNAMIBIA kuhusiana na unyama ambao walitendewa na wajerumani miaka hiyo hasa kwa haya makabila mawili ya Herero na Nama Usishangae kwaunayemuuliza akianza kulia kwa kwikwi na...
Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa.
Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya...
Habari za jioni wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada....
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa nikijiuliza sana kwa muda mrefu hili swali je wayahudi halisi wamekwenda wapi na je hawa...
HISTORIA YA FREEMASONS
Kwa kuanzia tujifunze kidogo historia ya kikundi hicho: Freemasons tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni “wajenzi huru” ingawa hawatambuliki kwa jina hilo, lakini kwa...
Habari wanaJF!
Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada)...
ANGALIZO: Yote yaliyoandikwa humu yatabaki kuwa ni maoni binafsi ya mwandishi wa makala ambayo baada ya kukamilika hii habari references na citations zitawekwa. Kutokana na maada hii kuwa...
Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa...
Lilith anayesemekana ni mke wa kwanza wa Adam. Hatajwi popote kwenye Biblia takatifu zaidi ya kwenye kitabu cha Isaya 34 : 14, na ambapo hata hivyo kutajwa kwake hakuna mahusiano kabisa na Adam...
Tunamaliza mwaka 2019 na taharuki za kutisha na kutosha. Kwa akili za wastani ni rahisi sana kuwanyooshea vidole wengine lakini kiroho tafsiri ni kubwa kuliko hilo.
Mojawapo ya 'case sensitive '...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.