Habari wana GT. Natumaini sote ni wazima wa afya.
Leo naileta mada hii jukwaani mara baada ya kufanya utafiti wa kina kuhusu Uwepo wa Mungu lakini pia kuhusu imani na dini.Nilichogundua Mungu...
Nimeandaa uzi huu mahususi kwa ajili ya yale maswali magumu yanayotatiza ili kupata majibu bayana kwa wabobezi na wajuvi wa mambo kutoka kwenu wanajamii.
Maswali.
1) Kweli (Truth) ni nini ama ni...
Afya ya akili ni neno ambalo tunalisikia sana siku hizi, kila mtu anaweza kuwa na wazo lake kuhusu hili neno. Tukisema afya ina maana ni kuwa sawa katika asili yake. Na akili ni utendaji kazi...
Jambo la 11:11 na maana yake
Je, mara nyingi unaona nambari 11:11 kwenye saa za kielektroniki, anwani au sehemu zingine na kujisikia furaha?
Wakati mwingine tunaona nambari zinazorudiwa au...
Kama malaika Gabriel alimtokea Mariam na kumwambia utapata mtoto Kwa uwezo wa roho mtakatifu na jina lake utamuita yesu na atakuja Kwa ajili ya kuikombia Dunia....
Tusome hapa kidogo
Wazazi...
Mashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu?
1. Kaulimbiu ya TISS...
2. Kaulimbiu ya CIA...
Ujasusi ndio 'kiini tete' cha kila nchi na ujasusi wake wa nje na wa ndani unazingatia masilahi na usalama wa kitaifa.
Shirika la Kitaifa la Ujasusi ndilo ulinzi wa kwanza wa taifa, na ndilo...
Habarini wana jamvi jamii intelligence kwa yoyote anayejua kinaga ubaga kuhusiana na tabiri za katuni ya simpsons ya mamboyajayo. Inaonekana hii katuni imekuwa inaonyesha mambo yatakayotokea...
Miaka milioni 65 iliyopita Kimondo kikubwa sana kiliipiga dunia. Wakati huo dinosaurs walikuwa wanaishi duniani.
Mgongano wa kimondo hicho na dunia ulisababisha mlipuko mkubwa uliorusha mawe na...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Habari wanajamvi, kumekuwa na ulinganishi,ukosoaji na maulizo kwa nini nchi zilizoendelea mashirika yao ya kijasusi hutangaza nafasi za kazi kwa uwazi kabisa kama zinavyotangazwa kazi nyingine...
Wakuu habari zenu?binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi sana kuhusu mikanganyiko(contradiction) katika vitabu vya dini.
Nimekuwa nikifatilia nyuzi nyingi za kiranga kuhusu kupinga uwepo wa...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Nimekuwa nikijaribu kila wakati kufikiri na kufanya tafiti kwa kutumia akili binafsi bila machapisho wala vitabu rejeaa ma msaada hadithi za kusimuliwa,.moja ya mambo ambayo huwa nafikiria ni...
Katika kitabu kilichoandikwa na Sir Ernest Alfred Wallis Budge "Legends of the Gods" tunapata simulizi nzuri ya miungu ya kimisri ambayo inatupatia mwangaza kidogo katika hili la chanzo cha Mungu...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Habari za kazi wana jf intelligence. Kama kawaida katika pita pita zangu kutaka kufahamu mambo mbalimbali leo nilikutana na kitabu/Andiko la Martin Luther kuhusu wayahudi likaniacha na maswali...
y’all.....
Kutokana na uelewa na muamko hafifu wa elimu ya malezi ya watoto from prenatal to postnatal (Psychology) kuna mambo hua yanawakumba watoto na wazazi bila kuelewa wanachukulia ni swala...
ALMASI, KITU KIDOGO KILIVYO WEZA KULETA UKAKASI KATIKA ARIDHI YA TANZANIA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA)
Tuesday -1/02/2022
Iringa Tanzania
Kuna Kisa cha kiarabu huko Iran cha miaka 2400...
SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara...
Habari yako mpenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.