Wanajamvi Salam.
Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million...
Kuna nadharia zaidi ya milioni moja kutoka mataifa na meaneo mbali mbali yenye kusimulia kuhusu uwepo nguvu isiyo ya kawaida , nguvu yenye uwezo wa kuumba na kutoa uhai.(supernatural power )...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la faraja kwa wafiwa waliowapoteza Wapendwa wao, wakidhani kifo ndio mwisho wa maisha, kumbe sio. Kifo ni mwisho tuu wa mwili na uhai, lakini roho ipo, haifi na inaishi...
Habari watu wangu wa nguvu,
Tangu hapo awali technolgia imekuwa inakua kwa kasi kubwa sana kiasi cha kuwa na akili bandia kutumia roboti kufanya kazi na shughuli na kijeshi na intelligence...
Inner peace is a new success.
Ndugu zangu wanadamu leo napenda nitoe elimu kidogo kuhusu suala la kuuza Nafsi au kwa kizungu selling your Soul. Binafsi naamini shetani yupo na pia shetani ni...
Kila ninapowaza kuhusu maisha mengine baada ya haya ya duniani huwa najawa na maswali mengi ambayo sijawahi kupata majibu yake mazuri, Mfano
Swali la kwanza ni tofauti kubwa sana kati ya...
Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in...
Rwanda na DRC zinaweza kwenda vitani wakati wowote kuanzia hivi sasa.
Ndivyo wanavyosema CIA. Ndio maana Williams Burns alifika hapa wiki mbili zilizopita kuongea na Rais Ruto. Williams Burns huyu...
M23 wameandika taarifa kwa umma wakilalamika TPDF kutembeza kichapo kisicho na Kisimbuzi. Ikumbukwe hawa M23 wameua RAIA wengi na Jumuia za Kimataifa ipo kimya.
Malalamiko yao yanakuja baada ya...
Tumekuwa na kawaida Kila Jumalipi tunaenda kanisani kusali Kwa sisi Wakristo na tukisisitizwa kuwa ni siku ya Bwana; kuwa alipumzika siku ya Saba.
Je lugha yetu inanichanganya maana nafahamu juma...
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo
Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa...
HII NI LIST YA WANASAYANSI KUTOKA AFRICA NA KAZI WANAZOZIFANYA KWENYE MATAIFA MAKUBWA
EGYPT
1. Euclid of Alexandria
huyu ni founder wa geometry ni mzaliwa wa egypt
amefanya kazi katika European...
Habari Wana JamiiForum na Wasabato wote Tanzania!
Kwa neema yake Mungu naomba tushirikiane na kuwaza kwa pamoja kama wakristo wano heshimu neno la Mungu kuhusiana na ubadhirifu wa unaofanywa na...
Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe....
Uvivu wa baadhi ya...
"Ding-dong!" goes the doorbell. Is it Avon calling? Or perhaps Ed McMahon with my three million dollars? No, it's Yahweh's Witlesses again, just wanting to have a nice little chat about the...
Ni vitu vichache ambavyo vinasisimua zaidi kuliko kuwa na uelewa wa mambo fiche ya ulimwengu kama ulivyo na umbo lake. Na vitu hivyo sio vya watu werevu tu, bali pia ni vya kila mtu kuviwaza na...
Dunia imekuwa kama kijiji kutokana na uwezo mkubwa aliounyesha mwanadamu wa kugundua hata ambavyo vilifikirika kwamba haviwezekani
Elimu na ufahamu kuhusu mwili wa mwanadamu kuanzia kuumbwa...
???????
Swali hili ni Muhimu sana hasa dunia ya leo maana limeigawa katika vipande viwili ambavyo havina ukaribu wala ufanano hata chembe.
1:Wanaoamini Dunia iliumbwa(Creationists) - Dunia ina...
Habari Za Muda huu wanajamvi!
Leo ni siku ambayo ningependa kushare kidogo kuhusu Aina ya mtu kuongozwa kiakili na kufikia kufanya maamuzi kinyume na matakwa yake (Psychological Manipulation)...
Jamii imekuwa ni mwongozo wetu kwenye kuishi, hisia zetu mawazo na kufikiria mara zote yanatokana na jinsi jamii ilivyotutafsiria maisha. Kinachotokea ni tunakuwa zao la jamii inavyotaka na kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.