Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Hahaha sitosahau nilikimbia kazi hii nilikuta tangazo limenoga kama hivi nikajua nimepata kazi kumbe dah hawa jamaa.. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya. Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa...
27 Reactions
45 Replies
5K Views
Kiwashe [emoji91][emoji2960][emoji91]
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanadamu anayeshikilia record ya kuzaa akiwa na umri mdogo ni Lina Medina. Alizaa akiwa na miaka mitano na miezi saba
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mfumo wa ajira ni kama inavyoonekana hapa.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Peter Msechu aka Tumbo naona kama kafanana kidogo na Mheshimiwa Tundu Lissu
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Zimbabwe imethibitisha kupeleka makomandoo wake Msumbiji kulisambaratisha kundi tishio la kigaidi. Hao Zimbabweans special force ni hatari katika mbinu za kimedani attacki, counter terror and...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanasema old wine in new bottle..[emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
4 Replies
1K Views
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mbio manusura ya kuvunjika miguu, waalimu wawa rudisha bila mafanikio Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri anazidi kunipa sababu kwa Nini sitaoa kwa mahali
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa wa Barcelona toka 1993 enzi za Hristo Stoichkov, Romario na kocha wa sasa hivi Muholanzi Koeman. Sijafurahishwa kabisa na muonekano wa Jersey ya Msimu wa 2021/22...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Vijana wadogo tu pengine baadhi wana wake na watoto[emoji24]
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Tuwe makini
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom