Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Mafuta ya ziada yanayozunguka maeneo ya kiunoni mpaka tumboni ni hatari kwa afya, haya mafuta husambaa mpaka kwenye kuta za moyo na kuleta madhara kwenye mishipa inayosafirisha damu kwenye moyo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ahsanteni watoto wazuri, ujumbe uwafikie wenyewe popote walipo.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nyama choma na bia, Mnadhani mimi pia sinywagi, just so you know now. Niguse uone, watishe hao hao maboya wenzio! Mzee baba unaongezeka uzito fanya dayati hawachelewi kukufanya kitoweo Ohoo...
7 Reactions
71 Replies
21K Views
🤗🤗🤗
8 Reactions
9 Replies
2K Views
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa watu wanaoandika hivi vitu wananipa raha sana. Hebu tupia zako tuone.
4 Reactions
42 Replies
10K Views
Nimezaliwa Kwamtogole, choo cha passport size. Leo nikienda Uwanja wa Taifa na Mloganzila ninakutana na makitu haya.
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii picha ni ya watu wawili tofauti, Wa kushoto jina William west na Wakulia jina william west. Hawa jamaa wote walikamatwa kwa makosa tofauti na kupelekwa katika gereza moja la Leavenworth, huko...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijui hilo rungu ni tambiko ama masharti ya mganga?!
4 Reactions
29 Replies
4K Views
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kaingia kigali
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Suffering from a case of Syphilis? Don’t worry, the Tudor’s got you🥺 Syringe recovered from Henry VIII’s ship the Mary Rose which sank in 1545. These syringes were often times used to treat...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom