MERCEDES BENZ iliyotengenezwa kwa dhahabu nyeupe Safi (pure white gold) inayomilikiwa na tajiri wa mafuta wa Abu dhabi.
Gari hili limetengenezwa kwa dhahabu nyeupe 18k na kuwekwa injini ya V10...
Grande Hote, hotel maarufu ya kifahari, Mozambique miaka ya 1960s na 2000s
Mahali Titanic ilikuwa ikipack 1912 na sasa...
Dubai1985 na 2016...
Dubai mwaka 2000 na sasa...
Dubai1991 na...
Wanabodi ni siku kadhaa sasa nimeona hawa wadudu nyumbani kwangu tena chumbani pa kulala! Kila nikiwaona nawafagia na kuwatupa nje.
Mwanzo hawakuwepo wala sikuwahi wona ila walipoanza kujitokeza...
Kama hii timu unaijua yote basi ushakuwa mtu mzima sana na hivyo nguvu za mwili za kupambana na corona zimepungua
Nitakushangaa ukiendelea kudanganywa na vitoto vya mwaka 2000 hebu kimbia wahi...
Huu uzi ni kwa ajili ya kuwaenzi mafundi Ujenzi ambao wanafanya vituko na kuharibu kazi, sijui ni kwamakusudi au wateja wao ndio wanakua wametaka hivo.
1. Nyumba
2. Barabara
Tuweke picha na videos ambazo ni extra ordinary..zinazotoa tafasiri pana zaisi kuelekea uchaguzi mkuu 2020
Mimi naanza na hizi
Ukipenda ipe tafsiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika video hapo chini ASKOFU mkuu makanisa ya ufufuo na uzima anaonekana akitoa sauti zisizoeleweka ambazo mim kama muumini wa dini ya kikristo SIJAMUELEWA alichojaribu kumaanisha.
Naomba...
Penzi lililojipatia umaarufu mkubwa mitandaoni kati ya msanii Grand P na mwanadada mwenye shepu ya aina yake "Eudoxie" limefika tamati.
Eudoxie ametangaza kuwa
wameshindwana, huku sababu ikidaiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.