Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukisikia aibu ni hizi kumbe kutwa nzima tunaiponda GSM na Manara anatucheka tu kimyakimya , wanasimba kwa pamoja tuwaombe radhi Gsm kwa mujibu wa clip ya manara instagram ni kwamba GSM ndiyo...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Leo kutakuwa na Mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022 pale Qatar, kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo katika dimba la Benjamin Mkapa hapa Dar Es Salaam. Taifa Stars wataingia dimbani...
11 Reactions
515 Replies
29K Views
Taifa Stars ine tabia chafu fulani hivi kama mmewahi kuichunguza kwa undani. Kwa mfano inaweza kukupa matumaini mazuri kuwa wako fit na wako poa lakini inangoja kipindi kizuri ambacho kila...
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Kulikua hakuna haja ya kujaza wachezaji wa timu za dar kwenye first eleven yetu..kuna wachezaji wengi wanaperform vizuri kwenye league ila hawapati namba kwenye timu ya taifa kwa sababu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
TAFAKURI NJE YA 18 Taifa Stars wamefungwa kihalali Wamezidiwa mikakati kama ambavyo Stars waliweza kuwazidi wapinzani mikakati ya kimchezo katika games 3 na kunufaika Hii ni michuano ya kufuzu...
1 Reactions
1 Replies
641 Views
Kazi iendelee | Soka liendelee, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mpaka sasa benin 1 madagascar 0 matokeo yakienda hivi ndio basi tena grupo litakuwa hivi Benin 10 Congo 8 Tanzania 7 Madagacar 1 Mechi za mwisho Tanzania vs madagasca Congo vs benin Sare ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna ndugu alituonya Tanzania humu juu ya kuchanganya mchezo wa mpira wa miguu na siasa. Viongozi wetu badala ya kuwekeza kikamilifu kwenye mchezo huu maarufu, wanatafuta cheap political...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ingawa matokeo ya leo yamenisikitisha sana, ila naona sawa tu tulivyorabuliwa na wakongo. Maana kama tungeshinda,CHAWA wa term hii ya uongozi wasingechelewa kuja na thread kama ; RAIS...
2 Reactions
14 Replies
922 Views
Asilani abadani Magufuli asingeweza kuvumilia huu upuuzi uliotokea leo uwanja wa Mkapa. Kesho asubuhi mapemaaa! kuna mtu angetumbuliwa. Huu si uzembe tu bali dharau iliyopindukia kwa familia ya...
23 Reactions
89 Replies
8K Views
Huyo jamaa ndio mganga wa Yanga licha ya kwamba hatuamini kwenye uchawi ila upo maana sio kwa kukosa magoli vile La mwisho Yanga mwambie mganga wenu akafukue dawa pale taifa maana tangu aweke...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi kama tu Wachezaji wa Kikongo ambao Kutwa tunawaimba, tunawasifu na Kuwakuza mno akina Yanick Bangala, Fiston Mayele, Ducapel Moloko, Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko, Herritier Makambo na...
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Kuna umuhimu kwa soka letu kuanza kuangalia generation nyingne kwa ajir ya kombe la dunia 2026 hawa akina Boko, Nyoni, Msuva Samata ni 30+ timu yetu ina malijend weng tuanze kuwapunguza,hzo pesa...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao. Ila hapa...
0 Reactions
10 Replies
898 Views
Kuna tetsi zinaendelea Chama kurudi Simba
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Wadau wa Michezo habari, Mimi ni Mwanasoka ila Sasa hivi Nimeamua Kuwa nakimbia kama Veteran, Ni Vema Tukaqekeza Katika Riadha tutafanikiwa sana. Tutapata Kina Alphonce Simbu Wengi mnooo...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Kwanza nikiri tu mimi shabiki wa simba, jana nimeweka bandiko sijapata jibu lolote nimeambulia matusi ambapo nimeona sio ustaarabu kabsa, jf ipo kwaajili ya msaada sio kukejeliana, pointi yangu...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnijuze huyu mchambuzi wa soka ambaye ananikosha Sana anapolidadavua soka yuko wapi kwa Sasa. N muda Sana simsikii pale East Africa radio na kiukwel nilikuwa mdau Sana wa michezo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa iliyotangazwa na Club ya Aston Villa muda mfupi uliopita . Binafsi sikupenda Steve aachane na Rangers Mapema namna hii , kule Scotland ndio mahali kwa kupatia uzoefu , sasa...
2 Reactions
3 Replies
867 Views
Back
Top Bottom