Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba...
Umefika wakati wa kuhesabu nani ana wachezaji wengi mataifa mbalimbali
Haya hatua ya pili Caf Word cup qualifiier imepita
draw ya kupanga yale mataifa 10 bora itafanyika December 18 2021
mechi...
Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga...
wadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana...
Wakuu namtafuta Mr. Ringo. Huyu alikuwa ni Mwalimu wa Mchezo Karate pale Upanga, jijini Dar es Salaam miaka ya 1998 kama sikosei hadi miaka ya 2000. Wakati huo alikuwa anaishi Mtaa wa Mvita na...
Salaam wakuu wa jukwaa,
Leo tuwataje wachezaji wenye vipara wawe wamestaafu au wanacheza sasa. Nianze na Erik Mooy wa Brighton Hoove and Albion
Cc: FORTALEZA
Rooney
Ni mechi ya kirafiki iliyopigwa jana simba amedroo na academy ya cambiasso goli 2-2, lakini ingekuwa mechi ya ligi wangeanza kupiga mayowe kuwa wanakamiwa na timu zilizopewa ela na gsm wakati...
kama title inavyosomeka hapo juu kutokana na uchambuzi wangu wa kisoka inawezekana kocha wa timu ya madrid ya bongo (kolo fc) pablo franco ameletwa na brand kampuni kubwa ya GSM ili kuleta fair...
Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu!
Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua.
Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile...
Kwa mtazamo wangu timu zetu ni lazima ziwaachie mamlaka makocha inaowasajili ili makocha hao waweze kusajili wachezaji inaowaona wanaowafaa LA sivyo Kwa kuwapa wachezaji ambao pengine hawafai au...
Zijue timu zilizotinga kushiriki fainali za kombe la dunia nchini Qatar.
1. Brazi
2.Argentina
3. Serbia....jamaa wamepambana sana kumzuia Portugal na Ronaldo wake.
4.
5.
6
7
8.
9
10.
11.
12.
13...
Ushauri Wangu Kuhusu Wachezaji John Bocco, Shomari Kapombe Na Erasto Nyoni
Wadau wa JF
Huu ndiyo ukweli hata kama unaumiza
Huu ndiyo ukweli wenye maslahi mapana kwa nchi yetu
Wachezaji John...
Tanzania kama nchi hatupigi hatua yoyote kwenye soka la upinzani. Si kwa Afrika Mashariki(CECAFA), sio Afrika(CAF), wala dunia(FIFA)
Tunazidi kujidanganya kua pengine kesho mambo yatakua mazuri...
Makolo wameendelea kutuletea vituko, na sasa wameleta zungu la unga, Don Castro kama kocha mpya wa viungo. Hawa jamaa lugha inaweza ikaja kuwa kikwazo kwao ukizingatia Makolo wengi elimu ndogo.
Popote mlipo KEROZENE nipo na hakuna cha Siri nisikijue hivyo nichukue tu Fursa hii Kuwaambia kuwa huu Ushirikina unaenda Kuwaadhibu Kesho na hamtoamini kwani nimedokezwa ili Kafara lifanye Kazi...
Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3...
Kabla ya yote nianze kwa Kusema kuwa Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba SC ila katka Uzi huu naweka Ushabiki wangu huo pembeni na nasema Ukweli mtupu ambao najua utawaumiza baadhi au hata wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.