Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu . Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Ni pale kwa Majariwa Stadium, Bila ya Kiungi Khalid Aucho, Ni Namungo Fc Dhini Ya Vinara Wa Ligi Kuu Tanzania Yanga Sc, Ni muendelezo wa Mechi za Ligii kuu Tanzania Bara. Je, Nani Kuibuka Na...
4 Reactions
277 Replies
22K Views
Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha. Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa😂😂 Waambieni ukweli mashabiki...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Hili ni tatizo la muda mrefu la Azam TV, hawana mabingwa wa promotion , huwezi kujua mechi inayochezwa hadi uingie kwenye channel ya soka , kwa mfano hakuna matangazo yoyote kwenye channel zao...
9 Reactions
87 Replies
6K Views
Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani . Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na...
22 Reactions
62 Replies
6K Views
Nakumbuka Ajibu aliposajiliwa yanga sc makomandoo wa simba walikuwa wanapanga waende kwa mganga kumroga Ibrahim Ajib wakati wanapanga hayo jamaa mmoja ambaye namfahamu akasema na nakumbuka mpaka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
”Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”, hayo ni maneno ya mlinda mlango wa klabu ya Yanga, Ramadhan Kabwili ambapo amesema kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umewahi kumlaghai...
4 Reactions
77 Replies
12K Views
Hivi msimu huu ukaisha tena Man Utd watoke kapa bila kikombe chochote watamuacha tu huyu Ole? Maana wamefukuza Moyes, Van Gal, na Mourinho japo aliwapa kikombe hawakuwa na shukrani. Hivi gana...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo! ikumbukwe...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Mchezaji Taddeo Lwanga amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Uganda na kujinyakulia tuzo ambayo inayotolewa na Football256. Lwanga ametwaa tuzo hiyo akiwapiku wapinzani wake wa karibu Eric Kambale...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau wa JF Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113...
12 Reactions
44 Replies
8K Views
NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC. Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting...
9 Reactions
253 Replies
20K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Inaonyesha hawa wa msimbazi huwa wanafanya mazoezi hasa ya jinsi ya ku force penati na red card ali mradi tu watoke na ushindi....na hii tabia imeanza kujitokeza kwa kasi tangu walipowapoteza...
1 Reactions
14 Replies
955 Views
Timu yetu ya Tanzania ambayo inajumuisha Bara na Visiwani.... Feitoto inapitia kipindi kigumu sana. Ukiangalia karibu nchi nyingi za Afrika timu zao zina majina ya tofauti. Mfano Rwanda ama...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Leo ni Desemba mosi mwaka 2019. Tunakaribia kumaliza mwaka huu, siyo vibaya tutaje walau members watano ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika jukwaa hili la michezo kwa mwaka huu 2019.
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Hii ni list ya magwiji mbalimbali wa Argentina na Brazil wanaocheza na waliostafu soka. Ukipewa nafasi ya kuchagua tatu bora utawachagua akina nani?
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Aliyekuwa kocha wa Simba Gomes Da Rosa awa kocha mkuu wa timu ya taifa Mauritania
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwishoni mwa miaka ya 1960 Mobutu aliwekeza sana kwenye mpira wa miguu kwa lengo kwamba nchi yake iweke record ya kuingia fainali za kombe la dunia, miongoni mwa aliyoyafanya ni kutafuta wachezaji...
15 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom