Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Halafu nashangaa sana kuona ya kwamba ulitumia Nguvu Kubwa Kulisemea hili Mitandaoni huku Ukiwatisha Simba SC lakini ghafla ukapoa na sasa hivi hutaki hata Kuliongolea. Tunajua ni huyu huyu...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaam, Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira. Wanasema hivi; 1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
1 Reactions
1 Replies
607 Views
Agents wa Carlo Ancelotti [emoji634] kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020). SIO TETESI TENA : It's official Ancelotti...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya sio maneno yangu...🤓
8 Reactions
13 Replies
2K Views
GSM ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC ambayo kwa msimu huu wamedhamiria kuchukua Ubingwa wa NBC Premier League kwa Gharama yoyote na kwa Mbinu zote zile za ndani na nje ya Uwanja. GSM kuona...
19 Reactions
167 Replies
48K Views
Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Alafu watu wasiongelee[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]wanaficha nini sijui
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Tukiwa tunaelekea kwenye fainali ya Uefa Champions League ya msimu huu kati ya Manchetser City Vs Chelsea FC. Tujikumbushe katika miaka 10 iliyopita ni fainali gani ilikuvutia zaidi? Mimi fainali...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Karim Benzema: Mchezaji mpira wa Ufaransa apatikana na hatia ya ulaghai kupitia kanda ya ngono. Mshambulizi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia ya kula...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Yaani GSM kuwa tu Co Sponsor wa NBC Premier League kwa Kuweka hiyo 2.1 Billion Tsh mliyodunduliza ndiyo Msemaji wenu Boya na Injinia Hersi Said wanatamba na kujiona wameweza, wametuweza na...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanayanga wenzangu, Mchezaji wetu hatari na daktari wa mpira Khalid Aucho mganda huyu yuko wapi? Au ni majeruhi? Tunammiss sana fundi wetu huyu mwenye kiwango bora kabisa ambaye huezi mfananisha...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi...
11 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni poleni na majukumu naomba kuuliza ni kwanini nchi ya urusi inashirika UEFA Nations cup wakati ipo Asia. Naomba kuwasilisha wakuu. Sent from my SM-G955F using JamiiForums...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom