Nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 2009 katika kombe hili hili lla shirikisho Timu inayoitwa Mundu SC kutoka TANZANIA visiwani ilikung'utwa bao 6-0 katika first leg na...
Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia.
Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..!
Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika...
Wakuu salaam,
Huwa najiuliza siku zote kuwa hawa makocha wakigeni wanawasiliana vipi na wachezaji wazawa? Wakati wanaonngea lugha tofauti? Kwa mfano kocha wa Yanga hata kiingereza tu kwake ni...
Salama wakuu,
Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona...
Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje?
Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina...
Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio..
Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio,
Angalia mapato ambayo Simba na Yanga...
Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, katika mpira wetu wa kitanzania kumekuwa na utamaduni usio mzuri wa viongozi wa vilabu vyetu kutoa matamshi ya tuhuma kwa viongozi wa klabu fulani...
Kisa hujuma: Yanga Kupumzisha nyota wake
.
🗣"Tutakuwa makini zaidi kwenye mechi yetu dhidi ya Mbeya Kwanza, tunajua mipango iliyopo, tutafanya hivi kujiweka katika nafasi salama kwa sababu...
MWAKA 2018, CAF ilianzisha kituo cha usimamizi wa mechi ndani ya ofisi zake za makao makuu jijini Cairo, Misri.
Kituo hicho kinachoitwa MATCH COMMAND CENTER, hufanya kazi kama moyo wa mtiririko...
Wadau wenzangu
Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.
Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.
Kwamba eti...
Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison...
Rais wa nchi MO Dewji.
Waziri mkuu Barbara Gonzalenz.
Waziri wa ulinzi Jonas Mkude Nungunungu.
Wizara ya kazi Shomari Kapombe "show me the way"show show.
Waziri wa katiba na sheria wakili msomi...
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika kutoka Uganda zinasema kiungo anayekipiga Yanga huenda akajiunga na Simba dirisha dogo
Pia habari zinaonyesha kuwa mkataba aliosaini kunako clab ya Yanga ni wa...
Je, wajuwa!!
Mpiganaji wa zamani wa boxing Mike Iron Tyson, ni shabiki mkubwa wa Marehemu Diego Armando Maradona, mwamba alikuwa anamkubali sana mchezaji huyu wa karne na kupiga nae pictures kama...
Kila mmoja ni shahidi kwa ili liliotea leo. Sisi kama taifa tuna safari ndefu kufikia mafanikio ambayo kila mtu anatamani kuyaona. Inatafakarisha tunataka kwenda mbele ikiwa vyanzo vinavyoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.