Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa mpira haya sio majina mageni katika uchambuzi wa soka hapa nchini. Sasa tupige kura kwa kutoa maoni yetu kwa jinsi tunavyowafahamu hawa jamaa. Mwalimu Alex kashasha na Dr...
3 Reactions
55 Replies
9K Views
Hivi ndivyo gari aina ya Coaster iliyoingia uwanjani ikiwa imebeba wachezaji wa Mbeya kwanza walipoingia uwanjani kupambana na Yanga, yaani gari imeingia kwa rivasi. Bila shaka haya ni masharti...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Simba chini ya Pablo imekua na mabadiliko ya haraka sana, ukiwatizama wachezaji unaona kabisa ile nguvu, ari na uchu wa kuipambania team vimerejea kwa kishindo. Ukiyatizama...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati...
0 Reactions
4 Replies
634 Views
Kwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro...
6 Reactions
87 Replies
7K Views
haitawaacha salama
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26 CAF...
15 Reactions
56 Replies
5K Views
IMEVUJA Kwa upande wangu LEO10 anasitahili, no doubt, na vigezo viko wazi. Unaepinga jiandae kuja na facts with statistics. Karibuni sana wadau, nawapendeni nyote
11 Reactions
133 Replies
9K Views
Mbunge wa Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ametekeleza ahadi yake ya kuwa na ligi ya vijana wa jimbo hilo kila mwaka kwa kuanzisha Vunjo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Je, wenye Akili tukihisi kuwa mmewatengea Pesa hiyo 'Kiduchu' kwakuwa ni Walemavu na mmewadharau tutakuwa tunakosea? Halafu Waziri Mkuu Majaliwa jana ulisema kuwa ile Hela ya Hamasa Tsh 1.2B...
2 Reactions
6 Replies
976 Views
Fair result kwa Man United, alama moja mbele ya Chelsea ilikuwa na maana kubwa sana kwa Man United, ubora wa mpinzani wake na matokeo aliyoyapata hivi karibuni unapiga tu makofi kwa mlichokipata...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
4 Reactions
8 Replies
1K Views
• Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. • Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki. Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Leo ni usiku maalum wa utolewaji wa tuzo maalum za Ballon D'or mwaka huu wa 2021. Mshehereshaji wa shughuli hii ni aliyekuwa mchezaji machachari wa Chelsea na Ivory Coast, Didier Drogba. .Tuzo...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Ingawa mechi ijayo Karick ataendelea kuisomamia Man United ila mechi inayofuata atakuwepo. Kocha wa Liverpool amesema ni hatua nzuri kwa Man U kumchukua kocha huyo kwani amefanya mengi kwenye...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji...
12 Reactions
313 Replies
28K Views
[emoji1593]"Kupitiwa haijawahi kuwa dhambi Wala kusahau haijawahi kuwa dhambi ". Viongozi wa Simba sio dhambi kukiri kuwa GSM anawavalisha wachezaji wetu /wao na timu nyingine. [emoji1593]12...
10 Reactions
43 Replies
4K Views
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo. Hapa tuseme hawa watu...
5 Reactions
30 Replies
11K Views
Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi.. Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom