Ndio,S.S.C Wapo Zambia ni Watanzania Hawa, wakiwa Wanawakilisha Bendera yetu ya Tanzania. Kama Watanzania hatuna budi kuweka tofauti zetu pembeni. Dua na Sala Zote Kwa Simba Sports Club ifuzu...
Hivi wakuu ni kawaida kurudia kuangalia goli moja siku nzima?😁😁😁
Hili goli haliniishi hamu.Yaani narudia kuliangalia hadi simu inaisha chaji kisha nachaji tena simu narudia kuangalia tena hadi...
Habari wakuu,
Kwa tukio la jana kukataliwa goal la Geita Gold ni wazi Azam TV wanapaswa kuboresha eneo lao la camera kwani hawakupi nafasi ya kuangalia angle zote za move ya mpira.
Mfano jana...
Mohamed Aboutrika has asked Muslim Players to boycott England's Premier League's Rainbow Laces campaign in support of homosexuality.
It's done through the wearing of multi-coloured laces...
Nimejiridhisha pasi na shaka kwamba Mourinho mbinu zakee na mfumo wake umeshapitwa na wakati na kote anakotimuliwa huwa hawamuonei isipokuwa ni kweli hana uwezo wa kufundisha na kuongoza timu...
Habari wanamichezo na wapenda soka wote ndani na nje ya Tanzania.
Haya mambo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara katika misimu yote ya ligi kuu ya Tanzania kwa sasa 'NBC Premier League' kuhusu...
Iwapo Kamati ya Maamuzi Ingekaa mara tu baada Ya Dk 90 za mtanange Wa Simba na Geita, huyu Refarii Uwezekano mkubwa Asingepona kufungiwa. Martin Saanya Sasa ni Kama amesafishwa na Upepo...
Nimeona Mara nyingi utata wowote unaotokea viwanjani, Mr kazi ndiye mtu wa mwisho kuhitimisha malumbano.
Kadi nyekundu
Magoli
Na maamuzi mengine
VAR HALISI NI GHALI SANA KIASI TFF WANASHINDWA...
Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801.
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao...
Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) imesema imepokea malalamiko kutoka kwa wadau wa mpira wakiitaka kuchunguza udhamini uliofanywa na kampuni ya GSM kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania kama hautaathiri...
Selemani Kidunda akizungumza na waandishi wa habari leo, kuelekea pambano lake na Tshimanga Katompa jijini Dar es Salaam.
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital
BONDIA kutoka Jeshi la Ulinzi la...
🚶🚶🚶😂😂😂Mchezaji Star na mchechi wa Simba, Bernard Morrison @bm3gh anasema, anajilinda kabla ya kuambiwa ana Corona nchini Zambia😂😂😂😂😂
Sasa ndio avae barakoa mpaka kwenye macho? @bm3gh
Eeee...
Habari ya wakati huu
Nikiwa na akili zangu timamu kabisa nasema hivi Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira wengi ni waropokaji tu na wanaenda na upepo umekaaje
Wengi wa wachambuzi wetu wanachambua...
Nchi ya Qatar ambayo ndio mwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 wameamua kutengeneza uwanja wa Mpira wa miguu ambao umetengenezwa kwa kutumia makontena.
Qatar imefikia uamuzi huo...
Nidhamu sasa imeshuka kwa waamuzi wetu licha ya maonyo na adhabu wanazopewa mara kwa mara hii yote sababu ya tamaa...hii inapelekea kudhoofisha maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.
Pendekezo...
Sijawahi Kupenda vibovu vibovu hata Siku moja na nilisema kuwa kwa sasa Tanzania bado sijaona Kiungo Mkabaji bora kama Mdogo wangu mwenyewe Jonas Gerald Mkude ila kuna Watu walinipuuza lakini kwa...
“Niliwahi kukataa pambano raundi ya kwanza huko Russia. Nilipigwa ngumi, nakinga mikono lakini nasikia ni kama chuma kimetua, naangukia kwenye kamba. Kocha wangu hataki kutupa taulo. Raundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.