Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ujinga na tamaa za TFF ndio zinaleta huu mkanganyiko. Tayari GSM ameshaona kuwekeza Utopoloni ni hasara kwakuwa Utopolo inaishia humu humu, sasa wanajua Ili kupata Faida lazima uweke kitu Simba...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila mara kuna vitu ukifanya kwa hila ama kudhulumu utakuja kulipa kwa aina moja ama nyingine. Watanzania hasa wapenzi wa soka hawana imani na uendeshaji wa chombo chetu kinachosimamia mpira wa...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Maisha yanaenda kasi sana. Miaka mitatu au mmoja nyuma mchezo wa Simba na Yanga ulikuwa ni moja kati ya michezo inayowavutia wengi sana kuitazama. Mida hii kila sehemu pangekuwa pamezizima kwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nauliza hivi, hivi mwijaku bado ni msemaji rasmi wa club ya simba? Kama ndie mbona simaikii wala kumuona akiifanya kazi yake mana yupo kimya sana. Kama siye mwijaku basi ni nani? Au club bado ipo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Last weekend niliingia sokoni kwa chinga mmoja nikaona katundika uzi wenye Chata ya vunja bei red, white na kijivu, pia Alikua na matambala yale yenye picha za Misukule kibao ya watani zangu Vyura...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Mwalimu wa Simba, Pablo ameonyesha uwezo wake mkubwa aliokuwa akiutumia Real Madrid kwa kuanza na formation ya 4 4 2 ila baada ya kuona Yanga wamekaa sana nyuma, akabadilika na kuanza kutumia 4...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Mdhamini wa klabu ya Yanga amewahidi wachezaji wa Yanga milioni 116 iwapo watawafunga Simba mechi ijayo NB:GSM ni mdhamini mwenza wa NBC premiere league Yetu macho
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Kuna upande mmoja wa hizi timu mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa... Hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby... Yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mechi tatu za kimataifa. Tuanze na SSC vs galax kwa mkapa kala tatu kisha kwa red arrow kala mbili na isingekuwa ile mimaji pale taifa idadi ingezidi
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za asubuhi Natumaini wote tutakuwa wazima wa afya kabisa kama Kuna mtu anaumwa na mtakia quick recovery katika tatizo Nawatakia happy independence Day 🇹🇿 kwa mana yanga wote tukutane...
3 Reactions
6 Replies
922 Views
Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
Mazeru karate, is unique self defense system,that combines the techniques of karate, ju- jitsu, Kung Fu and other combat systems. These techniques is a simple and effective for self protection...
4 Reactions
94 Replies
8K Views
Niliwahi kusema na kamwe sijawahi kufumba mdomo na kuacha kusema kuwa tuzo za Ballon d’Or ni tuzo za kipuuzi na kipumbavu kuwahi kutokea kwa miaka ya karibuni katika Ulimwengu wa Soka. Tuzo hizi...
35 Reactions
78 Replies
5K Views
Habar jf Hawa GSM hawafai kudhamini timu yoyote hapa nchini, tumeshuundia miaka 3 walichokifanya ndani ya yanga ni ujaja jaja tu, Hatujawahi kuona yanga ikikaa miaka 3 ikiwa na mdhamini alafu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Viongozi wangu wa Yanga nawaomba muwasajili wachezaji wa Simba hawa ambao wanauwezo na wamekosa nafasi za kucheza 1.Miraji Athuman 2.Hassan Dilunga 3.Jonas Mkude 4.Ibrahim Ajib 5.Kahata 6.Said...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Nadhani iko wazi Simba hawawezi vaa jersey yenye nembo ya GSM so huu mjadala ufungwe na tuendelee na mengineyo. Kwanza bega la kushoto liko booked tayari[emoji881]
1 Reactions
6 Replies
691 Views
Watu wengi hawapendi kukutana na vitu vyenye maudhi kwao. Ili kuepuka maudhi watu Wana tabia ya kujizuia kukutana na vyanzo vya maudhi hayo. Watu wengi hawapendi kuangalia mechi za ligi kuu ili...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naambiwa hapa hata Mdhamini Mkuu hakushirikishwa. Yeye kahoji kimya kimya asiharibu hali ya hewa. Hivi viongozi wa hovyo kama hawa wataisha lini.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom