Unajua kwanini, Pitia threads karibia zote humu jukwaani, pitia michango ya mtu mmoja mmoja utagundua klabu inayozungumzwa kwa kwa zaidi ya 90% Ni Simba.
Inazungumzwa kwa mazuri, ubaya,lawama...
Let me declare my interest,Mimi ni Shabiki wa Yanga Mabingwa mara 27 (in Manara's voice 🤣🤣🤣🤣).
Binafsi huwa napenda sana kuona timu yangu ikipata ugumu kupata point kutoka timu pinzani maana ndo...
- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia...
Juzi kati niliandika uzi kuhusu udhamini wa GSM na nkaja na maswali ya ufahamu. Kuna waliokubaliana na hoja na baadhi walikataa kabisa.
Unaweza upitia hapa, Je, ni kweli udhamini GSM ni wa...
Yanga ni zaidi ya mbumbu watu walishajua kuwa nyie mnapenda skendo za nje ya uwanja ndio maana Simba wameamua kuwachezea mind game ili Yanga mconcetrate na ya Simba kususia mechi msahau maandalizi
Vunja Bei ni kit supplier wa jezi za Simba, GSM ni kit supplier wa Yanga. Halafu halafu nembo ya supplier wa Yanga ibandikwe kwenye Simba .
Yaani NIKE wabandikwe nembo ya Adidas na nembo zote...
Nimejaribu kusoma maoni mbali mbali humu zingine zikiwa za wana yanga wengine zikiwa za upande wa simba wakijibizana na pia wengine kukosoa juu ya hatua ya TFF kusaini mkataba na GSM. Mkataba wa...
TFF Hamuiwezi Simba wala Yanga nchi hii,
Hapa yenyewe mnasubiri viingilio hivi mpige pesa!
Bila simba na Yanga nchi hii mtakufa njaa nyie..
Oneni mpaka viingilio mnapanga ninyi..
Yanga waligomea...
Yaani Yanga hii derby wanavyopigia kelele hadi kero wakati Simba wanachukulia kawaida tu kama mechi ya Mbeya Kwanza au Prison.
Hamna mwanasimba anayewaza hii mechi maana ni kama mechi za kawaida...
Watu tumesafiri kufata derby
Tumelipia ving'amuzi
Tumelipia tiketi ya mechi
Tumesafirisha michepuko
Tumewaandaa watoto wetu waone derby
Tumebet pesa zetu
TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga...
Ndani ya Tanzania Football Federation (TFF) kumejaa vilaza ambavyo havijui maana ya mpira na matokeo yake ni kuingia mikataba inayovuruga tamaduni na brand za vilabu vya mpira.
Tulisikia juzijuzi...
vibe la simba linajulikana afrika nzima sasa matapeli fulani yamekaa sehemu miaka 3 yameona ni ujinga mtupu yakaenda kuingia MKATABA WA KIMANGUNGU na watu wazima wasiojiheshimu watu wazima ambao...
Leo napenda kuongelea Sheria ya 15 ya FIFA inayohusu "Member associations’ statutes"
Member associations’ statutes must comply with the principles of good governance, and shall in particular...
Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football...
Ni kwamba Masela ( Wahuni ) wote wa Ubungo ( hasa pale UFI ) pale Manzese na Magomeni ( Migomigo ) tunakujua fika kuwa Wewe ni Yanga SC 'lia lia' na wengine ni 'Mashemeji' zako vile vile kwa Dada...
Wadau wa JF,
Watanzania wote,
Wapenzi wa Soka,
Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Yanga ila kwenye Mechi ya kesho ya Watani wa Jadi naombea sana Benchi la Ufundi la Simba liwapange wachezaji wafuatao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.