Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mchezaji wa Simba Kibu Denis hana kiwango cha kucheza Simba ni mzigo, hana footwork nzuri. Hana unyambulifu wa mwili (body flexbility) Pasi zake za kutoa na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau wa soka Hamjambo Nimekuwa nikimfuatilia huyu mutu wa DRC straiker MAKAMBO kuurejesha kwake ktk club ya Yanga SC, matarajio ya wananchi walifikiri atawasaidia lakini ukweli huyu jamaa ni...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wasalaaam! Wana JF popote mlipo! Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya...
3 Reactions
8 Replies
849 Views
Simba iwe makini dirisha linalokuja la usajili na pia iwe makini kwa umafia watakaofanyiwa na TFF. Vita kali inakuja kati ya TFF na Simba huku wakipewa backup na GSM. Umafia uliotumika kumtoa...
5 Reactions
8 Replies
863 Views
Uhuni umeanza kwa kuingia mkataba na GSM bila kuridhiana na Simba.Na lengo ikiwa ni agenda ya utopolo kupewa ubingwa wa mchongo Leo viongozi wa Simba wamezuiwa kihuni tu kuingia uwanjani...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Mji mzima leo wanaongea wao...wamefurahia sana suluhu na toka jana baada ya game wamelewa sana katika ma pub kwa furaha Tunasema tukutane 2nd round.
0 Reactions
13 Replies
694 Views
Hili suala la mikataba mibovu mda mrefu imekuwa ikisababisha umasikini, mauwaji na hasara mbalimbali kwa jamii hapa Tanzania . Huko serikalini ni kugumu kidogo lkn kwa Hawa TFF na bodi ya league...
6 Reactions
14 Replies
600 Views
Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana. Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p Demla dk ya 62' Hii ni mechi ya kwanza mtibwa...
1 Reactions
2 Replies
643 Views
Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao...
11 Reactions
103 Replies
7K Views
Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick. Ni Maana Yake Au Tafsiri...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna kipindi Simba walishambulia Morison akampasia Kapombe na ilikuwa ndani ya 18 ,ilikuwa move ya goli. Naomba kufahamu kosa gani ilifanyika ,Tuache ile shuti ya Kanote halafu akapuliza offside...
5 Reactions
62 Replies
4K Views
Wakuu Kwema, Leo Mapema nilikua nimejisajili kwa Hii Kampuni nione labda ina nini Kipya wamekuja nacho tofauti na Makampuni mengine yaliyoko. Nikasuka Mkeka wangu, treni la leo leo odds kama 384...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba. Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Kati ya Mayele na Kagere Una fikiri nani anatisha zaidi? For me Mayele cause hata asipo funga anaweza kukuzuru pia to get Red card. yellow card or and penalty. Ni msumbufu sana kumchunga...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!! Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Mchekeshaji wa kipindi cha michezo cha Sports Arena kupitia Wasafi Fm Ricardo Momo anasema kutokana na elimu ya nyota aliyonayo ameona jinsi ambavyo Simba kesho anaenda kuibuka na ushindi dhidi ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mm sio mjuzi wa mpira Wala sijui uchambuzi lakn napata mgagasiko pale naposikia beki fulan au kipa fulan kaupiga mwingi hi ina maana gani? Kwa akil zangu za std 2B chin ya usimamiz wa mwalimu...
2 Reactions
11 Replies
855 Views
kwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa hii ni taarifa ya 5 December 2021 hongereni simba sc.
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Back
Top Bottom