Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM. Mkutano wa...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
3 Reactions
3 Replies
691 Views
Ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa, na ambayo inatajwa kushika nafasi ya 3 kwa Ubora duniani (BAVICHA), tayari imefika ndani ya uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kushudia mtanange wa...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
2 Reactions
3 Replies
909 Views
Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani...
7 Reactions
89 Replies
6K Views
Habari ndio hiyo, mkubwa ni mkubwa tu.
19 Reactions
211 Replies
50K Views
Tabia ya mwanaume halisi anapowaza kitu cha kujifananisha nacho lazima atawaza kitu chenye pride. Mfano huwezi kukuta mwanaume anajiita swala.Atajiita Mamba,Simba,Chui au kitu chochote chenye...
1 Reactions
3 Replies
908 Views
Huyu ndio mnyama anaetrend mda huu yupo uwanjani anazunguka uwanja mzima inasemekana ameletwa na timu wenyeji daah kwa hali hii tutaona mengi leo[emoji1][emoji1]
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Ndugu zangu narudia tena hiyo hela ya kuhangaika kwenda taifa kuangalia ujinga wa bongo subiri january ukaangalie makundi lunyasi hapo ni kama tutakuwa hatujahamia Rwanda. Haijulikani hadi sasa...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
GSM Kutangaza logo yake kupitia SIMBA inahisi itakuwa na tija zaidi kuliko yanga,kwa kuwa ni timu bora na ni ya kimataifa ndiyo maana inang'ang'ania Simba kuvaa logo yake. Wenye akili...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Unajua nataka kusema nini Ukiwasikiliza kwa makini wachambuzi wa habari za matukio ya michezo katika tv na redio, utagundua kwamba wote ni mashabiki aidha Simba au Yanga. Lazima ana upande...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
SIMBA ni timu kubwa, naamini hilo wanalijua. Malengo na tageti ya GSM ilikuwa kuwatumia Simba kujitanua na kujulikana kibiashara kwasababu Simba ni ya kimataifa. Hivyo kupitia mashindano ya Afrika...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu wapenzi wa michezo na burudani na wasalimu kwa jina la kanuni na sheria za mpira. Leo tarehe 07/12/2021 nimeona mijadala mingi mitandaoni inayohusu udhamini wa GSM na TFF ambao bado...
18 Reactions
153 Replies
10K Views
Raia wa Kenya, Robert M'munoru mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaunti ya Lamu ametoweka na hajulikani alipo hadi sasa baada ya kutumia pesa za Boss wake kuchezea mchezo wa bahati nasibu (bettin) na...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa taarifa za chini chini ( ambazo hata hivyo naendelea Kuzithibisha ) ni kwamba katika hali ya Kuikomoa Simba SC na Kuijeruhi Kisaikolojia kuna baadhi ya Viongozi wa TFF ( wenye vinasaba na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Yes anafanya jambo jema kwa mpira wa miguu, ila kinachoonekana sasaa katika board yao of directors aidha kuna utoto mwingi au kuna ujinga mwingi.
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Epl Arsenal anadhaminiwa na fly Emirates ambao kwa kiwango kikubwa walishiriki kwenye management ya Arsenal hadi kuja na plan ya kujenga uwanja wa Emirates Lakini kwa saivi Fly Emirates wamekuja...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Unaikumbuka tarehe 25.6.2021 Kilichotokea katika sekta ya michezo Tanzania?! Hahaha acha nicheke kwanza na nishushie maji ya AFYA kidogo uku nikisubiri spare zangu nilizoagizwa pale kariakoo mtaa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Sio kwamba nimekuwa mshabiki wa GSM kuwekeza pesa kwenye Ligi badala ya kwenye Klabu. Bali ninalipinga vikali kitendo hiko. Kwanini asiwekeze mpunga kweye usajili wa wachezaji katika dirisha...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu,,Mimi Kama shabiki wa mpira,mwananchi..Kama professor ataanza na kikosi hiki,,Simba Sc watapata tabu Sana... 1: diara 2:djuma 3: Bryson 4:Mwamnyeto au dick Job 5:Bangala...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom