Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Manchester City imeweka rekodi ya kuwa timu kubwa kutoka England ambayo imeshinda mechi nyingi mfululizo. Ikiwa imeshinda mechi 15 , huku ikifunga magoli 40, na kuruhusu magoli 5, ikiwa na clean...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Napenda kuuliza vipi hali ya Kisinda huko Berkane? Tumekuwa tukipata tetesi na habari kuwa Clatous Chama mambo yamekuwa magumu hadi anafanya mpango wa kurudi Simba. Hata hivyo hatupati taarifa za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa ni miongoni mwa wadau walioambulia Tuzo kutokana na mchango wao kwenye maendeleo ya soka la Tanzania , tunashukuru sana kwa waliompa tuzo hiyo kwa...
3 Reactions
12 Replies
941 Views
Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa takwimu hizo, nani kaupiga mwingi leo
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Habari wakuu.. Kwa mwenendo huu wa Champions league Fainali ni baina ya Liverpool na Ajax .
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hapy Birthday Tanganyika. Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La...
11 Reactions
152 Replies
9K Views
DROO YA #UCL: CHELSEA vs LILLE, MAN. UTD vs ATLETICO Baada ya droo ya hatua ya 16 Bora kurudiwa, Chelsea itakutana na Lille huku Man. Utd ikikutana na Atletico Madrid PSG ambayo awali ilikuwa...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously? Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Wana Simba wenzangu ni swali nauliza tu, hata kma hawachezi nafasi moja, maamuzi ya kumuacha Chikwende hayakua na tija. Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
4 Reactions
59 Replies
4K Views
AKILIMALI:- MKWASA AMEYATAKA MWENYEWE -Katibu wa Baraza la wazee wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali naye ametoa neno kuondoka kwa kocha wa Yanga, George Lwandamina na kujiunga na klabu ya Zesco...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimeshangaa kusoma kwamba eti kiongozi wa klabu ya Biashara anasema anachojali “ni fedha tu za Udhamini wa GSM, na hayo mambo mengine hayawahusu”. Hicho ni kiwango kikubwa cha kutojua wajibu wake...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM? Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini...
7 Reactions
84 Replies
5K Views
Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Naunga mkono hoja ya Magori. Bajeti nzima iwekwe wazi, mwekezaji, wanachama mashabiki na wapenda soka tuchangie ujenzi wa uwanja Updates Rais wa Simba Sc ameitika na kuahidi kuchangia bilioni 2...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Tunaona sasa TFF inavyopata shida na Simba na Yanga kiasi cha kupoteza uelekeo. Tunaona yanga wakigomea mechi yake na simba kwa kosa la kubadilishwa muda wa mechi, tunaona Yanga wakiigomea TFF...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC wakiwaomba waihamishie timu ya Simba...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Ni ukweli usiopingika kama timu hatukupenda kuingia game hii kwa wakati huu. Nilitazama barabarani, vibanda umiza na popote hata mashabiki wetu hawakujiamini kama msimu ulioishaId Idadi ya watu...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Binafsi huwa siwaelewi bodi ya Ligi wala TFF. Yani timu hizi mbili hasa wale wa ngumi mkononi Ratiba ikipangwa wataambiwa waanze mechi kumi nyumbani ili wapate hela ya kusafiria. Sasa hiyo ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom