Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Taarifa za chini chini zinasema kuna uwezekano mechi ya Simba Vs Kagera Sugar ikaahirishwa leo kutokana na wachezaji muhimu zaidi 13 wa Simba kupata mafua na homa ghalfa, ingawa timu ilishawasili...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni mwaka wa ngapi sasa anaeshinda Balon d or anatokea la liga? Hata kama mwaka huu Messi katokea PSG lakini alipewa tuzo kwa performance yake ya la liga. Halafu lewandosky na Van Djik...
5 Reactions
8 Replies
959 Views
Kuamini uchawi ni kubaya Sana game imehairiashwa kisa mlozi kasema simba mkicheza leo mtapigwa na kitu kizito kichwani. Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
2 Reactions
9 Replies
642 Views
| Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Tangu ule msukule useme kwamba Usukuleni hakuna mwenye akili, tatizo lilianzia hapo. Hata wale waliokuwa na unafuu wote wakawa chali.Ili akili ziwarudie labda huo mwiko ung'olewew huko nyuma.
1 Reactions
7 Replies
695 Views
Kocha mkuu wa clabu Nabi , amesema baadhi ya wachezaji wa timu hiyo ni wagonjwa. Aidha , Nabi ametoa pole kwa club ya simba kufuatia wachezaji wa timu hiyo kuugua hali iliyopelekea mchezo wao na...
4 Reactions
5 Replies
727 Views
Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo ni leo, Barcelona na miamba ya amerika ya kusini Boca Juniors. 🇪🇦Barcelona - Boca Juniors 🇦🇷 Wanakipiga saa mbili kamili za ucku katika uwanja wa King Saud University stadium, Ar-Riyad...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Ugonjwa usiojulikana huko umesimamisha mechi
0 Reactions
4 Replies
757 Views
Kwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi. Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake. Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Mnyama mkali Simba kuvaana na jkt Tanzania kwenye kombe la shirikisho la Azam ASFC, Leo saa 1 kamili usiku. Kikosi tayari kimewasili uwanjani tayari kutafuta ushindi dhidi ya jkt Tanzania, hope...
7 Reactions
150 Replies
45K Views
Mwamba amelazimika kustaafu bila kupenda kufuatia kupatikana na matatizo ya moyo Binafsi katika nyakati hizi toka 2008 hadi Sasa naamini dunia imepata namba 9 mahiri wa 11 tu 1.Zlatan Ibrahimovic...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Ukiangalia ligi za timu nyingine hususan Ulaya, kombe la mshindi wa league huwa ni lenye umbo na muonekano ule ule miaka na miaka. Shida ni sisi hapa. Msimu huu utaona mshindi huu kapewa liko hvi...
4 Reactions
1 Replies
595 Views
Kwa mujibu wa Farhan Kihamu wa clouds, kiungo nyota wa Zambia na klabu ya Rs Berkane Chama amekamikidha kuvunja mkataba wake na sasa ananukia kurudi Simba. Ndio tuseme Chama amefeli huko Berkane...
8 Reactions
28 Replies
6K Views
Nakumbuka Simba walisajili Makipa wengi. Kule walinotoka walikua na vipaji imara na walicheza kwa ustadi Mf Jeremiah Kisubi. Sasa kuendelea kukaa bench ni kuua carrier Yao. Wawaache baadhi...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz...
11 Reactions
66 Replies
6K Views
Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza. Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Siku zote lengo la kuanzisha haya maligi ni kumtafuta mshindi Ila inanishangaza huu mpira wetu wa kitanzania tokea haya maligi yaanze sijawahi kuona hizi timu ndogo zikishika nafasi ya pili au...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Draw iliyorudiwa UEFA hatua ya mtoano (last 16). PSG uso kwa uso na Real Madrid Red Bull Salzburg vs Bayern Munich Sporting CP vs Manchester City Benfica vs Ajax Chelsea vs Lille Atletico...
5 Reactions
106 Replies
7K Views
Back
Top Bottom