Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wachambuzi wa soka katika kituo cha runinga cha Sky Sports Wametaja wachezaji wao Watano Bora wa muda wote. Kupitia kipindi cha #The footballShow, Ma-pundits wa Sky Sports, Graeme Souness, Jamie...
4 Reactions
93 Replies
7K Views
Timu yenye wachezaji zaidi ya 28, wachezaji wangapi wakiumwa mechi inaahirishwa?
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo mechi kati ya Kagera Sugar na Simba ilihairishwa, kutokana na wachezaji wa Simba kuwa na mafua makali! Sasa naomba kuwauliza viongozi wa Simba, kama mechi ingechezwa, je mlikuwa mmeishaweka...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Imekuwa ajabu kwa wachambuzi wa michongo leo kumwandama mwalimu wa timu hasa aliposema yanga ni timu ya kawaida sana. Nawashangaa sana kwa kuwa hata Simba iliyofanya vizuri kimataifa mwaka jana...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwenye kikao kilichofanyika kati ya bodi ya ligi na vilabu 15 vya ligi kuu vimeafiki kuvaa nembo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu GSM . Kwa maana hiyo Simba tu haitavaa hiyo nembo na pia mabango...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
Anaitwa Kategile Mathias(21)kutoka Sikonge-Tabora ni mchezaji wa mpira wa miguu(kipa)na hizi ni stori zake 10[emoji116][emoji116][emoji116] [emoji835]"sijawahi kudanganya umri...wachezaji wengi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja 👇. Source- The citizen.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau wa soka naamini mko salama. Mimi nimeshaachana na ushabiki wa soka krk nchi yetu kwa sababu kadhaa ingawa huwa naifuatilia. Juzi kumeibuka mvutano kati ya timu ya Simba na TFF kuhusiana na...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zilizotufikia ni kuwa tayari clatous chama ametua nchini kujiunga na klabu ya simba kama mchezaji wao mpya pia ili limethibitishwa na kamwaga msemaji wa simba piga makofii kwa simba...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
NBC Premier League leo Jumapili, Vinara Yanga SC wapo ugenini katika dimba la Nelson Mandela kuwavaa maafande wa Tanzania Prisons. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa hawajapoteza mchezo...
3 Reactions
154 Replies
10K Views
Taarifa za ndani kabisa ambazo GENTAMYCINE nimezipata ni kwamba hili la Ugonjwa ni sababu tu ila tatizo ni Uvaaji wa Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM. Inasemekana kuwa endapo Simba SC jana...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Greetings! Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo...
12 Reactions
90 Replies
15K Views
Sisi wana simba tunapenda mambo mazuri ya kisasa. Ninapenda kuwaletea wanandugu Concept ya uwanja wetu tutaotegemea kuanza kuujenga mwaka 2022. Ruhusa Utopolo kumwaga povu.
8 Reactions
18 Replies
36K Views
Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Mpango wa GSM kuwa mdhamini mwenza unaanza kukutana na changamoto. Nadiriki kusema kwamba mapungufu ya mkataba yasingejadiliwa kama:- 1) Mbele ya media kusengekua na sura za uyanga wakati wa...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Msemaji wa simba sc, bwana kamwaga amepost picha hii ya kiti katika page yake ya fb na kuandika 90% soon kitu kinachomaanisha anakwenda kusimamisha mitandao leo lakini inasemekama tayari chama...
17 Reactions
147 Replies
14K Views
Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mpira wa miguu kwa miongo kazaa umeteka mashabiki duniani kote kila mtu kuwa mshabiki na mpenzi wa timu flani ,kwa Tanzania huwezi kuzungumzia mpira bila kuzitaja Simba na Yanga ni club kongwe na...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom