Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho (...
Uwanja sawa, lakini Bilion mbili hapana!
Kwanza nina declare interest, mimi ni Yanga damu, na sijaandika haya kwa sababu mimi ni Yanga, Lah!
Miaka nenda miaka rudi masimango ya wadau wa Mpira...
Kwa mujibu wa Football Funnys wanasema Fainali ya Uefa Champions League (UCL) kati ya Spurs Vs Liverpool ndio fainali mbovu kuwahi kutokea katika historia ya ligi ya mabingwa.
Spurs alilala 2-0...
Ukiangalia harahati zake uwanjani na namna alivyokuwa akiwaweka roho juu walinzi wa kati wa Simba, ni wazi kuwa Mayele ni mshambuliaji hatari na pengine kwa sasa hakuna kama yeye kwa timu zote --...
Ni Yanga Sc Dhidi Ya Biashara United Kutoka Mara. Mchezo huu ni Saa 1 jioni Ya leo, ikiwa bado masaa matatu kuelekea mchezo huu, Naendelea kutafuta Hela Ili niipie Ahadi ya Tsh 10M kama Biashara...
Mbali na hizo changamoto za mwamuzi, lakini benchi la ufindi Simba linachangamoto ya nidhamu na utendaji kwa makochaa wakuu. Ni historia ya muda mrefu na Yule uchebe alishawahi kulalamikia hili...
Niwaombe TFF BODI YA LIGI,WADHANI, sasa wakati umefika wakutoka gizani nakuendesha ligi kitaalamu tumeona mambo mengi ya hovyo yakifanyika uwanjani kwasababu ambazo naweza kuziita za kizembe au za...
Mchezo unachezwa Ubungo Plaza kutakuwa na jumla ya bouts 10, mabondia ni wa nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Malawi, Zambia na Congo DR
Main card ni Kidunda Vs Katompa. Kidunda hadi sasa ana...
Wadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua...
Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa.
Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa...
[emoji1593]pamoja na yanga kuwa na kikosi chenye muunganiko ila wanatakiwa wajipange ndani ya uwanja na nje ya uwanja maadui niwengi mno tena wanajionesha kwa rangi zao .
[emoji1593]je,unajua...
Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa...
Wakuu Naomba Kudeclare Interest Kwamba DG Wa Sasa Wa Fcc Adv. William Erio alikuwa ni Boss Wangu Wakati Mm ninafanya Kazi Nssf Idara ya Sheria.
Erio Ndio DG Wa Sasa Wa Fcc na Ni Mwanasimba Mwenye...
Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa.
Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa...
Naona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba...
Game over Simba 4 KMC 1 ila dk ya 80s,..Kulikua na subs za kutosha ingawa ile ya Wawa ilionekana kumkera Pablo hadi akagonga chupa ya maji chini kabla ya kumsukuma Wawa. Pia second attempt ikawa...
Nina TAFAKURI NJE YA 18
Tanzania kuna mengi tunakosea na kwakuwa Hivi vitu havisemwi kwa Hadhira na watu maarufu basi katu hatutaona thamani ya taaluma ya soka nje ya Sifa na kuponda kimatukio...
Wakuu
Team yetu ya simba kwa sasa iko vibaya sana na hovyo, kiasi kwamba hata mechi zimekuwa za kuunga unga, tunaogopa hata kucheza na kina kagera..!
Kiuongozi pia team yangu pendwa inazama...
Kuna tetesi zinavuma na zinavuma kweli kweli. Hata baadhi ya WanaJF àmbao ni mashabiki wa Simba wanazipa chapuo kwamba Kwa vile Mchezaji Thadeo Lwanga Kwa Sasa ni majeruhi basi Simba watumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.