Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League (VPL) Kuendelea kupigwa leo July 7, 2021 ambapo Kinondoni Municipal KMC FC, wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye Dimba la Mkapa...
Lwanga x Fraga
Fraga aliondoka Simba sababu ya majeraha. Haitoshi sasa Lwanga majeraha yanamuandama.
Mapenzi aliyokuwa nayo Fraga kwa Simba hayapimiki. Akapata majeraha kipindi ambacho...
Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji...
Nimekutana na watu wakifanya mazoezi ya kukimbia pembezoni mwa bara bara hizi ni athari;
1.Kugongwa na gari
2.Kuvuta moshi utokanao na magari
NOTE: Kwanini viwanja vya michezo visitumike?
Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports...
Wakati Morrison alipo hamia Simba sc, viongozi wa Yanga walibaki kuwafariji wanachama na mashabiki wao kuwa Hilo ni swala la muda na wange mrudisha kwa gharama ya aina yoyote ile, matokeo yake...
Leo katika mtanange wa ligi kuu Tanzania bara VPL, ulikuwa ni mtifuano katika ya Azam FC na Yanga SC kwenye uwanja wa Chamazi, ambapo kwenye mchezo huu Yanga imeibuka na ushindi wa goli mbili kwa...
Wakuu nimewaza nikafikiria hivi CCM wangekua na timu ya soka ingekuwaje ndani dk 90 uwanjani?
Baada ya izo dk 90 kuisha uwanjani CCM kala 4-0 matokeo yanaweza achwa ivyoivyo au yatageuzwa?
Mtanzania kuchezesha AFCON.
Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
Simba hawajujipanga kuandaa hiyo shughuli. Ma mc WaPo very dis organised.
Morrison nae ndio kaongea makolokolo Gani ?
Simba SC is very boring.
# Haji Manara is cut from a different cloth
Kwanini nasema hivi, Kuna mambo au taarifa ambazo hakutakiwa kuongea chochote. Yaani Manara hakutakiwa kuongea chochote baada ya ule mkataba kusainiwa.
Lakini alianza kutoa kauli za dharau dhidi...
Shirikisho la soka duniani FIFA, linaongoza kikao kwa njia ya mtandao, kujadili uwezekano wa kipindi cha kufanyika kwa kombe la dunia, kubadilishwa kutoka baada miaka minne hadi miwili.
Wakuu wa...
Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba...
Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama...
Timu za Tanzania hasa Yanga, Simba na Azam zimejiimarisha sana kusajili wachezaji nyota kutoka nje ya nchi. Ingawa kwa kufanya hivyo kumeichangamsha sana ligi ya NBC mwaka huu, kinachosikitisha...
Imetokea jana Arusha wakati wa mashindano ya wabunge wa Africa Mashariki yakiendelea .
Vurugu ilitokea Kati ya mechi ya Wabunge wa Uganda vs Tanzania . Wabunge wa Uganda hawakuridhishwa na...
1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa...
Kukamia mechi na mwishowe unashangilia draw na Simba eti sababu ya kilikuwa ni kitendo kibaya Sana kwa Biashara yangu, mbona hizo hela SASA hampewi? Malipo yake yamekuja kuwa machungu Sana...
Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy.
Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.