Katika mchezo wa soka kuna wachezaji wamecheza na kustaafu kwa umri mkubwa kama akina Maldini, Giggs, Drogba nk na wengineo wanastafu umri wa kawaida tu. Ila kuna wachache miongoni mwao wanastaafu...
Kama kichwa cha HabarI kinavyojieleza , kuna haja gani timu yenu kusajili wachezaji 30 , kama Ihefu tu nayo mnaweka kikosi cha kwanza utafikiri mnaenda kupambana na mnyama mkali simba? Au ni woga...
Marefa wakibongo hawana viwango vinavyohitajika na ndio maana hawachaguliwi kwenye mechi za Afcon. Rwanda, Tchad, Djibouti, Burundi, Mauritius, Comoros, Seychelles, na Lesotho zote zikichanganywa...
Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
Raundi ya tatu kombe la Azam Sports Federation kuendelea leo.
Wananchi Yanga SC wanaanza mbio za kulisaka taji hili kwa kumenyana na lhefu SC. Mechi hi itapigwa katika Dimba la Benjamin .Mkapa...
Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally...
Timu ya Azam haipati matokeo ikiwa mikononi mwako pia. Inawezekana tatizo ni wewe, wachezaji, au viongozi na au wote kwa pamoja.
Lakini unasubiri hadi Azam ushuke nayo daraja ndio uondoke au...
Tff na Wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie!
Kiukweli uwanja wa Taifa unatia aibu sana, miundombinu imechakaa, viti vimechakaa...
Kuanzia tarehe 1 January 2021 hadi leo hii tarehe 12 Disemba 2021, Yanga na Simba wamekutana mara 5. Matokeo ni kama ifuatavyo;
Yanga;
kashinda mechi 3,
kafungwa mechi 1,
sare mechi 1.
Simba...
Kwasababu tajwa hapo juu na Simba nao wanadeka.
Jambo kama hili la mgogoro wa tff na Simba likitokea kwa Yanga uwa kuna press mfululizo za body ya ligi au tff kutoa vitisho na mikwara kwa Yanga...
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji.
Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo;
1...
Kuna watu huku mlikua mnasema Messi hana kitu ni kwamba yupo tu kwenye timu Bora na anazungukwa na wachezaji wazuri mmeona sasa kuondoka kwake kumeifanya Barca kupoteana hadi kushiriki michuano ya...
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania.
Kama mnavyojua Kariakoo derby inahekaheka mpaka mikoani huko,mechi inachezwa Dar lakini miji mingine ya Tanzania kunakuwa na patashika nguo kuchanika...
Askari mzungu alipomuua bwana Floyd dunia ililipuka na kudai ule ni ubaguzi kwakuwa ulitoka kwa mweupe kwenda kwa mweusi
Je tukio la Jana la Tff kumkataza Barbara (mzungu) kuingia uwanjani sio...
Hivi tumerogwa!,
Toka game ya deby uwanja ni mchafu hadi leo ni hali mbaya! mbaya! mbaya! We can't manage even such tiny thing? Usafi kweli?
Tukubaliane hii nchi yetu kubadili fikra na utendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.