Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Demokrasia lazima ionekane ikitendeka kwenye taasisi zote za umma ikiwemo TFF. Kwanini changuzi za TFF wenyeviti wanapita bila kupingwa kwenye nchi yenye watu zaidi ya elfu 60? Rais wa TFF Bw...
0 Reactions
4 Replies
663 Views
1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
NBC Premier League leo Jumatano. Mabingwa watetezi watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuwaalika GEITA GOLD FC. Geita Gold wameshinda mchezo mmoja tu tangu ligi imeanza, huku wakiwa na kumbukumbu ya...
11 Reactions
368 Replies
24K Views
Mwaka 1982 tarehe Fulani tulikuwa tunaangalia mpira Jamatini moja mjini Lindi, Ilikuwa ni mechi za kombe la dunia zilizofanyika nchini Hispania. Tulikuwa tunaangalia mikanda ya mechi zilizokuwa...
13 Reactions
14 Replies
2K Views
Mchezaji bora wa Mwaka wa Ballon D'or imenyakuliwa na Lionel Messi (33) wa PSG na timu ya taifa ya Argentina. Aliisaidia taifa lake kushinda kombe la Copa America na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora...
13 Reactions
162 Replies
12K Views
Habari zenu ndugu zangu. Baada ya kuwajulia hali, ningepeenda niende moja kwa moja kwenye mada iliyonileta hapa. Bila shaka asilimia kubwa ya vijana tuliozaliwa na kukulia Dar es Salaam miaka ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Martin Saanya ni refa aliyewahi kuchezesha mechi ya Simba vs Yanga ambayo ilileta utata akafungiwa kwa kushindwa kumudu pambano hilo Either kwa kushindwa kutafsiri sheria au mapenzi. Siku hiyo...
13 Reactions
33 Replies
5K Views
TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Kaandika hivi: Muongoza Ligi yuko Mbeya na Mbeba Ubingwa yuko Dar es Salaam. Kazi Kwenu.
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa mwenye kumbukumbu naomba anitajie kikosi Cha Mlandege kilichoanza kwenye mechi ya fainali ya CECAFA 1998 dhidi ya Rayon sports ya Rwanda.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimefualilia mechi za Yanga katika viwanja vya ugenini na kuona wingi wa mashabiki wao. Inawezekana ni kweli kuwa Yanga ndo wenye mashabiki wengi zaidi hadi miaka hii? Tusaidiane kutafakari
3 Reactions
82 Replies
4K Views
Tazameni alichoandika
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Tuwachambue wachambuzi wetu wa soka Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra WAONGOZAJI ni Prisca Kishamba...
9 Reactions
58 Replies
6K Views
Baada ya mechi kwisha alihojiwa akasema. "Hali ya hewa haikuwa nzuri Ila maamuzi ya refa yalitugharimu kwakuwa alitoka ukanda huu,tutarudiana na pia refa atatoka ukanda wetu" NB: Simba waanze...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mchezaji wa PSG, Neymar (29) ameumia kifundo cha mguu wakati timu yake ilipokuwa ikichuana na klabu ya St Etienne katika dimba la Geoffroy-Guichard na kushinda kwa goli 3-1 Neymar alionekana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni ligii kuu Tanzania Bara, Kuendelea leo. Ni Mbeya kwanza Dhidi ya Vinara wa ligi Kuu Tanzania Bara. Mbeya Kwanza amekuwa na Mwanzo mzuri kwenye Ligii akipambana na wababe wa Soka La Tanzania...
0 Reactions
237 Replies
13K Views
Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Chonde chonde, Geita msituangushe tupo nyuma yenu asanteni sana
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom