Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu leo tena timu yetu ya taifa inashuka dimbani navyoona mie matokeo yatakuwa hivi Benin 2 stars 0
1 Reactions
154 Replies
12K Views
Habarini Za Wakati kama Huu… Vilabu vyetu vinavyoshiriki Ligi kuu Tanzania Bara huwa vinahangaika sana kwenye kuhakikisha Ligi Yetu Inakuwa Bora na Yenye kusisimua, Haya huonekana Wakati wa...
8 Reactions
72 Replies
10K Views
Kwema wakuu? Hawa wawili ilikua wazichape Leo ukumbi wa PTA, pambano limeshindikana sababu Cheka anasema kapata ajali, amekuja na "hogo" mkono wa kushoto wakati anahojiwa na Mtangazaji Ahmed Ally...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tatizo la Dulla Mbabe ni hili: Sishangazwi kupigwa, ni matokeo kwenye ngumi kama ilivyo kwenye michezo yote kushinda na kushindwa ndio mchezo. Ila kushinda na kushindwa kote kuna sababu na ni...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Leo sikuwa na ratiba ya kutazama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ila baada ya kusikia watu wakiwa na hamu na shauku ya kumuona Kibu Denis, nikaona nayo ni fursa ya kuweza kumtazama. Lengo...
11 Reactions
51 Replies
8K Views
Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli...
14 Reactions
101 Replies
13K Views
  • Poll Poll
Tanzania(Taifa stars) kupambana tena na Benin kwa mara hii wakiwa ugenini Siku ya Jumapili Oktoba 10 kuanzia saa 10 za jioni, katika mechi za kuwania kufuzu kombe la dunia 2022 nchini Qatar...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake imeibuka Mabingwa wa COSAFA kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika michuano ya COSAFA ya wanawake iliyokuwa inaendelea Afrika Kusini, goli la...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii ni baada ya kupokea kipigo cha pointi toka kwa mpinzani wake huyo katika pambano lao lililomalizika muda mchache uliopita. Usyk toka Ukraine ameshinda kwa pointi 117-112, 116-112, na 115-113...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwanini asingeitwa Himid Mao Mkami au Said Ndemla au Majogolo au Salum Aboubakary kuchukua nafasi ya Kiungo Punda Muzamiru Yasin Said Selemba na akaitwa Kiungo Mbovu na Mvivu Zawadi Mauya kutokea...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa bondia yeyote anatakiwa mdomo kuwa nao ili kuweka hofu kwa mpinzani wake. Hakika mdomo ni sehemu ya mchezo wowote katika kumtisha mpinzani. Leo nataka...
1 Reactions
2 Replies
973 Views
Meddie Kagere (alizaliwa 10 Oktoba 1986) ni mchezaji wa soka wa Rwanda aliyezaliwa Uganda ambaye anacheza katika klabu ya Simba S.C. iliyopo Ligi Kuu Tanzania Bara na timu ya taifa ya Rwanda...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Newcastle United iliingia katika mfumo wa private company limited by shares mnamo Tar. 6 September 1895, timu hii Ilijiendesha kwa mfumo huu hadi karne 20 ikiwa inatawaliwa kwa umiliki na Mckeag...
17 Reactions
148 Replies
13K Views
Tanzania(Taifa stars) and Benin meet at Mkapa Stadium on Thursday in a battle between two sides at the top of their World Cup 2022 qualifying group. The sides are level on points and goal...
2 Reactions
241 Replies
15K Views
Jana nilipata nafasi ya kuzama Kambini kwa timu ya Taifa. Nikiwa Bongo mara nyingi napenda kujibanza na watu wa soka ili kujua mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine siyatambui. Kwa...
8 Reactions
88 Replies
6K Views
Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar. Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu wa uzito wa juu duniani kati ya Tyson Fury vs Anthony Joshua umeenda mlama baada ya bondia Deontay wilder kutumia nguvu ya mkataba kutaka pambano la tatu...
6 Reactions
185 Replies
12K Views
Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom