"Yanga SC haihusiki kabisa na Kupima COVID-19 Wachezaji wa Timu ngeni na waulizwe Serikali ya Tanzania. Na kuhusu hao Mashabiki kuingia waulizwe TFF na Watu wa Wizara na siyo Sisi Yanga SC" Haji...
Leo droo imetoka kwa upande wa michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho CAF. Binafsi naona uwezekano wa timu za Tanzania kufika mbali zaidi kwa kuweza kutinga hatua za makundi...
Kutokana na kutokuwepo kwa mashindano yoyote ambayo ingetumika kujiweka sawa na kuchagua mfumo na mbinu mbali mbali kutokana na wachezaji wapya waliosajiliwa ni vyema kwa timu za Biashara, Simba...
Kamisheni inayosimamia ngumi za kulipwa Tanzania TPBRC, kupitia makamu wake imewapa adhabu za faini bondia Cosmas Cheka na mwenzie Isa Nampepeche.
Cosmas Cheka amepigwa faini ya Tshs laki nne...
Baada ya kuangukia pua mapema wavulana wa soka wa utopolo msione vibaya kuwashangilia na kuwapigia makofi wanaume wa soka la Tanzania kuanzia Biashara leo, Azam kesho na kisha baba lao wekundu wa...
Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni.
Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa...
Nilipokuwa mdogo baba alikuwa akinipenda sana Mimi kuliko ndugu zangu wengine , lakini alinipenda tu na hakuwahi onesha upendeleo wa wazi ..TFF mmefeli katika hili ...huenda timu nyingine za ligi...
Timu za simba na yanga mtazamo wangu simepewa Muda wa kutosha na zimethibitisha zaidi ya majungu, marktime za kisoka na Maneno maneno hazitatufikisha popote...
Nilipoiona AZAM na bosi tajiri...
.
Leo kazaliwa Legend wa United Andy Cole, una ambiwa uhamisho wake kuja United kutoka Newcastle ulisababisha bifu zito kati ya Alex Ferguson na kocha wa Newcastle Kevin Keagan [emoji23]
Ni stori...
Kuna wachezaji ambao hawana na mapenzi na Azam lakini wamewalazimisha kubaki kucheza Azam. Wachezaji hawa baadhi Yao wamewafungia kwa kisingizio Cha utovu wa nidhamu.
Ukweli ni kwamba club...
RC wa Mara (tena Kwetu kabisa GENTAMYCINE) ulitoa Ahadi ya Tsh Milioni 10 kwa Timu ya Biashara United FC kama wakiifunga Simba SC na hawakufanikiwa.
Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM) Antony Mavunde...
Sasa kama mnasema Mchezaji wenu mpya mnayemsajili kwa Mkopo japo mnaficha Jesus Ducapel Moloko ni mzuri kuliko mliyemsifia zaidi na aliyeondoka Tuisila Kisinda na kwamba Kisinda alikuwa anawekwa...
Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo:
1. Bryson David
Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa...
Juma kahtib a.k.a Nugaz alifanyiwa fitna na msukule hadi akapoteza kazi pale utopoloni lakini cha kushangaza majina ya wahamasishaji bora kwenye tuzo za TFF yametoka lakini Jina la Nugaz halipo...
Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu.
Na leo Mightier natabiri hapa hapa...
Michael Jordan weighs in on NBA's COVID-19 protocols, vaccinations: 'I'm a firm believer in science'
Michael Jordan faced criticism during his playing career for his apolitical views, but the NBA...
Fredy vunja bei huku mikoani jez ya simba imefikia inauzwa elfu sabini. Kama wewe ndie unatengeneza hii ya kutoa mzigo kidogo ili utengeneze mazingira ya jezi kuto patikana ili uuze zaidi wewe sio...
Yanga wamepigwa rungu huko CAF Kwa kuendekeza ukanjanja wao waliozoea kuufanga kwenye ligi kuu Tanzania Bara na yakawakauta yalio wakuta .
Hivi sasa wanahaha. Na vikoba kupata hiyo pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.