Kumbe Haji Manarà alikuwa sahihi aĺiposema mtu ukiwa yanga unajikuta kichwani hamnazo. Yeye mwenyewe yamemkuta hayo hayo!
Zilikoenda akili hata yeye mwenyewe hawezi kujua!! Utopolo sijui...
Kwanza naomba niwape pongezi wachezaji wa Azam kwa ushindi ambao wameupata leo kwa kuiondoa Simba. Simba ni level za Biashara ndo ataenda cheza nao.
Sisi Wakubwa tunakutana FAINAL YA AZAM F.CUP...
Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo.
Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo.
Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo...
Ningetamani kuwepo na sheria ambapo Kocha/Timu isiruhusiwe kucheza zaidi ya mechi tano au kumi bila kumtumia Mchezaji wake.
Yaani iwe kila baada ya dakika kadhaa za kucheza basi asiwepo Mchezaji...
Ni miongoni mwa magolikipa bora kuwahi kutokea Simba na Tanzania!
Ikumbukwe toka zama na zama, Simba imekuwa ikipata magolikipa hodari sana, tangu enzi za akina Athumani Mambosasa, Hamisi Kinye...
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya...
Ukipitia comments za mashabiki wa yanga aka utopolo baada ya Simba kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania huko Botswana, utafikia hitimisho kuwa Haji Manara alikuwa sahihi kwenye kauli yake kuwa...
Kama walitaka kukutana na timu mbovu wangekomaa wavuke raundi ya awali, Sasa raundi ya mwanzo imekushinda, Unabeza mafanikio ya mwenzio, hii ni ajabu, roho mbaya isiyo na maana, halafu binafsi...
SALAAM WAKUU.
Kila nikitazama orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali msimu huu napigwa na butwaa.
Naona hawa TFF wamewaweka baadhi ya wachezaji ili kusawazisha ule Usimba na uyanga ila...
Kwanini wachambuzi wa Tanzania mnakua hivi lakini, Nimetoka kumsikia Jeoff Leah wa E FM anasema eti Simba Sc haitaweza kufanya vizuri kimataifa kwa sababu imepoteza wachezaji wake bora na hawa...
TFF imetoa rasmi taarifa iliyotoka shikirisho la mpira Africa (CAF).
Mechi ya Biashara wataruhusiwa mashabiki 5,000.
Mechi ya Azam mashabiki 2,000.
Na Mechi ya Simba mashabiki 15,000.
Jana kwenye mechi ya Biashara united na Al ahal ya libya ( speling) kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani afrika, tuliona mchezaji mmoja wa Al ahal akitapika maji uwanjani.
Sababu...
Timu ya Simba pokeeni ushauri huu.
Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga.
Kwa nini?
1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga...
Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila...
kuna kitu sijajua hadi leo simba kinanishangaza, sijui ni uzungu mwingi au vipi? kwanza ni kwanini mazoezi ya simba kila siku ni ya wazi? si muende hata Gymkhana palipojificha?
Huyu CEO kule...
Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1
Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo...
Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze.
Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi...
Kama mdau wa michezo na mshabiki wa mpira wa miguu na Mwenyeji wa Mkoa wa Mara nachukua nafasi hii ya kuwaunganisha mashibiki wote wa Biashara united ( Mara) ambayo ni timu yetu pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.