Declaration: Say No to Racism.
Kwanza niseme tuu huyu jamaa namkubali 101% katika kile anachokifanya. Ni jamaa anayejua kuleta amsha amsha hasa kwa timu ya taifa, lkn sijawahi kumsikia akiwa...
Kuna Watu wanajulikana kuwa Wao kila ikikaribia Mechi yao na Mahasimu wao akitajwa tu Mwamuzi (Referee) huwa wanalalamika kuna ni Mnazi wa Wapinzani wao na kupelekea hata Kumtisha ili awe...
Kulikoni Wananchi tunawakosa watu hawa muhimu sana katika Yanga hii mpya?
Upande wa Kikosi na Upande wa hamasa
Nina imani kubwaSaidoo angeungana na akina Bangala na Mayele na Aucho tungepata...
Klabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahamasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara.
Umewapokeaje wahamasishaji...
Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha huamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwahamasishaji na wala si afisa habari wa timu.
Kwa mpira wa bongo ulivyo...
Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi.
Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya...
Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli, pia kuna timu haitapoteza mchezo wowote ndani ya mzunguko huo
Na ndio hiyo itakayobeba kombe
Msiniulize ni timu gani.
Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc?
Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba.
Sent using Jamii...
Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa...
Wakuu ni matumaini yangu wote mmeona mpambano wa tatu/trilogy kati ya wilder vs fury.
Niwaambie tu kitu ambacho nimegundua kwa mtazamo wangu.
African boxers bado ni the best dunia nzima ndo...
UCL FULL TIME SCORES
⬇️
AJAX 4 DORTMUND 0
INTER 3 SHERIFF 1
SHAKHTAR 0 REAL MADRID 5
PORTO 1 AC MILAN 0
PSG 3 LEIPZIG 2
ATM 2 LIVERPOOL 3
Liverpool have won a #UCL game against Atletico Madrid...
Wakati Yanga wamepigwa faini kwa kukaidi agizo la CAF kuingiza mashabiki uwanjani mechi yao ya CAFCL,kwa Simba sports club hali ni tofauti.
Simba wameruhusiwa kuingiza mashabiki mechi ya...
Wamiliki wapya wa timu ya Newcastle United wameamua kupata changamoto mpya ya kocha ili kwenda na kasi yao mpya .
Mkataba wa Kocha Steve Bruce umesitishwa rasmi leo
Sent from my SM-J500H using...
Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani...
Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0.
Je, wangependa kusikia al ahly...
--------- Matokeo ---------
KMC 0-2 Yanga
Magoli ya haraka haraka yaliyofungwa na Mayele katika dakika ya 4 na Fei Toto katika dakika ya 11 yametosha kuipa ushindi Yanga na kuipandisha kileleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.