Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Maombi Yanahitajika. Ni Half time. WaTz hawa Wa Azam FC Wako nyuma Kwa Bao 1. Kimsingi Hawako Vibaya...ni game tu imekuwa Katili upande Wao kipindi cha Kwanza. MUHIMU...DUA.!
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Nianze na hasara sababu ni nyingi: *Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu. *Ni lolopolopo haswa halijui...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Haiingii Akilini kwa Uyanga wake Pesa za kuwapa Timu Pinzani ( hasa hiyo ya Biashara United FC ) ya Mkoani Mara na hata ile ya Lipuli FC ( alipokuwa Iringa ) kila zikikutana kucheza na Timu...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwani Nani alistahili kuchukua hi tuzo
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo. Wadau wengi wa soka tunasubiri...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Inaonekana kama vile Yanga inacheza michezo tofauti kipindi cha kwanza na kipindi cha pili. Kipindi cha kwanza Yanga inacheza soka Safi na la kisasa na kushinda mabao dakika za mwanzo za mechi...
1 Reactions
17 Replies
953 Views
Wadau wa soka embu mtujuze tusiojua,kwanini kesi ya wakili msomi BM inakua na kigugumizi kutolewa maamuzi, kila siku imekuwa ya kupigwa kalenda shida ni nini hasa?
2 Reactions
13 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Afrika Kusini imemhukumu kocha wa timu ya taifa ya Uganda, Milutin “Micho” Sredojevic kifungo cha miaka mitatu baada ya kukutwa na makossa mawili ya unyanyasaji wa kijinsia, alisema...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Silasi kinachokuponza sijui ni uoga au kutokujiamini? Umepewa nguvu na katiba ya kuteua wajumbe wa kamati tendaji, umemteua Ikangaa na Bayi hali ukijua kabisa kikwazo cha maendeleo ya mchezo wa...
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amekamatwa na Polisi baada ya kumpiga shabiki hadi kuzimia baada ya mchezo wa Kagera Sugar vs Simba uliyomalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-0 mjini...
0 Reactions
81 Replies
17K Views
Hii nchi ngumu sana kubadilika, hata aje nani. Tuzo ya Mchezaji Bora kupewa John Bocco ni dhulma kwa Chota Chama na wapenda soka. Tuzo ya Mchezaji Bora wa FA kupewa Feisal ni dhulma kwa Konde...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Yaani kwakuwa tu alitumia mwanya wa Ugomvi wa aliyekuwa Msemaji wetu Haji Manara na kuanza Kumjibu kisha akaanza Kujipenyeza kwa CEO Barbara, Siku ya Simba Day akahonga 'Stewards' pale kwa Mkapa...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Muhamasishaji ndio huyo keshapatikana, mambo yameanza kwa mashabiki na viongozi wote wameshahamasishwa watembee uchi mitaa ya Mwenge hadi Kawe. Kama haitoshi kasema kabisa tuwapige mawe hadi...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Cheki midude Namuunga mkono ndugu mwandishi
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila...
31 Reactions
239 Replies
22K Views
Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Katangaza kinyonge sana. Na bado kwenye group stage.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mlijua tuzo zimeandaliwa kuwapa Manolo tuzo karibu zote, mkaamua kuwavalisha oversized wakina Feisal ili habari ya Mjini iwe hiyo badala ya tuzo, na kweli kila sehemu sasa hivi wanaongela mavazi...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Endeleeni kuanzisha 'Threads' zenu hapa za Kumnanga na Kumchafua ila kaeni tu mkijua kuwa Bongo Zozo ndiyo Mshindi wa Tuzo na wala Waandaaji TFF hawatomnyang'anya na kumpa Msemaji wenu Mnafiki...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpaka sasa Tuzo za TFF hawa ndo walioshinda 1.Kipa bora - Aish Salum Manula- Simba sc 2.Kocha bora ligi kuu-Didier Gomes Da Rosa-Simba Sc 3.Kiungo bora- Clatous Chota Chama- Simba Sc 4.Kocha...
11 Reactions
102 Replies
8K Views
Back
Top Bottom