Vuguvugu la fainali ya UEFA limeendelea kushika kasi hasa kuhusu suala la kuumia kwa mchezaji wa Liverpool; Mohammed Sarah ambaye baadhi wanadai aliumizwa kwa makusudi ili kuhakikisha Real Madrid...
Mohamed Salah amesaini mkataba wa miaka 5 kuendelea kuitumikia klabu ya Liverpool hadi mwaka 2023
Atakuwa analipwa £200,000 kwa wiki na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu ya...
Inakuwaje wanajamvi!
Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira...
Mashabiki wa Simba wanaongoza kwa kubadilika badilika maneno..
Manula akifanya makosa basi wote wanaimba wimbo wa Munula hafai. Mugali akifanya makosa wote wanaimba wimbo mmoja kuwa Mugalu awekwe...
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango...
Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Al Merrikh kutoka nchini Sudan katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Al Hilal...
Timu kubwa kama Simba ambayo inafahamika dunia nzima haiwezi kuwa na watu wa hovyo hovyo na duni kama huyu kijana , huyu kwanza ana kashfa zisizo na idadi za kupiga picha za aibu na kuzisokomeza...
Kocha mkuu wa Simba sc Didier Gomes ni wakati muafaka wa kuondoka Simba sc kwani hujaletwa kwa ajili ya kukaa jukwaani na ligi kuu. Gomes na matola ni wakati wa kuondoka Simba, kwani Hana sifa.
Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao.
Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa...
Mpira ni dakika tisini. Poleni sana Wana Msimbazi ila ninawashauri mtafute kipa. Manula ni mfupi na hawezi mipira kama ile ya leo. Kweli ni masikitiko makubwa.
Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu...
Mo kashaichoka Simba ndo maana kuna mambo mengine haangaiki nayo kabisa na aliamua kujitoa kwenye uwenyekiti mapema kabisa hii ikionyesha kashaichoka Simba.
Na yupo Simba kwasababu ya kukuza...
Wanasimba wenzangu,
Mpira uko hivyo hivyo kikubwa tukamilishe zoezi la kesho kama tulivyowaahidi Watanzania, muhamasishaji wetu aliahidi kua tukifungwa tutakusanyana tutembee uchi Mwenge hadi...
Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa.
Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie...
Mpira huchezwa hadharani na pengo la ile biashara kichaa lilianza kudhihiri muda sasa achililia mbali pengo la Sven.
All I can say Is, BYE BYE GOMEZ. Huna credentials za kuwa kocha wa Simba. That...
TFF naona wameanza kuwaandalia Simba viporo visivyo na sababu
Mie nadhani Azam waliocheza jana walikuwa na haki zaidi ya kuomba kupumzika kuliko makolo sababu Pyramid ni timu bora na ngumu kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.