Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa...
10 Reactions
66 Replies
6K Views
Salaam wakuu!! Kuna Jambo nashindwa kulielewa kabisaa kuna huyu mwamba Fraga sijui mkataba uliisha? Au alivunja mkataba!! Lakini nakumbuka alipata tatizo la Goti na simba ikatoa taarifa kwamba...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu). Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo baada ya kuona taarifa ya Waiziri Mkuu wa Sudan kuwekwa chini ya Ulinzi nimejikuta na maswali juu ya Biashara United kushindwa kusafiri . Hoja zao wanadai tangia tarehe 16 walishakata tickeck...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tuna timu nzuri sana wana Simba ila wasiwasi wangu unakuja kwenye perfomance ya baadhi ya wachezaji kukosa mwendelezo kwa kila mechi 1. Mzamiru kacheza vizuri sana kwenye mechi ya stars lakini...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
The pre-match technical meeting for Al Ahly Tripoli v Biashara United Mara has been concluded. Biashara United, still nowhere to be found. Kick-off is 17:00 GMT. The Libyans will progress to...
1 Reactions
67 Replies
4K Views
Wakuu, wanamsimbazi kindakindaki, kwa namna Simba inavyocheza, huku wakijichanganya kwenye eneo la viungo na kukosa maelewano, Basi tutarajie safar za mafanikio mwaka huu Ni zero bin sifuri! Kuna...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
8 Reactions
110 Replies
9K Views
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga ====== Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku...
25 Reactions
271 Replies
28K Views
Wale wana wa Msimbazi poleni sana kwa kipigo pale kwa Mkapa. Kuondoka kwa Haji Manara kweli kunaonesha kabisa kuna Nguzo moja imevunjika pale Msimbazi. Namkumbuka sana Manara mechi kama hizi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna rekodi hazivunjiki kama vile; Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969 Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Kagere ni mshambuliaj mzuri Sana tena ana uwezo wa kufunga magoli, lakini cha kushangaza hachezeshwi, benchi la ufundi likiona muda umeisha ndio wanamwingiza. Mechi ya Leo mimi naamini Kagere...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
wakuu salaam, Ukitizama profile za wachezaji wa simba utagundua simba inakikosi bora zaidi Tanzania bt why hawafanyi vizuri licha ya kupata pre-season nzuri? Kitendo cha kuudharau mchango wa...
0 Reactions
20 Replies
925 Views
Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon. Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020 Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo...
20 Reactions
38 Replies
4K Views
Hahahaaah! Dah... Wikend yangu inataka iishe vizuri leo... Bado liva anifurahishe nilale Kikosi kipana... Leo kimepanuliwa palepale kwa mkapa ambapo huwa hatoki mtu! Wani wei tu shirikisho... Na...
4 Reactions
10 Replies
704 Views
Back
Top Bottom