Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha...
Simba ni kama maji.
Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa.
Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo.
Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
Kikosi cha Mnyama
Haya wanaJF ziimebaki dakika chache kuelekea mpambano mkali kati ya Simba Sc na UD Songo.
Mtangazaji wako mwandamizi kwa kushirikiana na wadau wote muhimu tunakueletea moja kwa...
Inashangaza kwa kweli.
Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu.
Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga.
Kama ni msanii, wanataka awe...
Nchi ni kama haina waziri wa michezo.
Olympics tunapeleka watu watatu.
TFF uchaguzi wa kihuni.
Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote.
Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo.
Regulatory...
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!.
Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa...
Kuna kitabu kimeandikwa na waisrael ,ila kimkubeikwa kwa kiarabu ,kila elimu nzima ya kubet madukani huuzwa elfu NNE ,jina lake huitwa ( abuu maashara) hupatikana maduka ya vitabu kiarabu...
Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad
Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea...
Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo.
Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara?
Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari...
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba nikiamini mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club.
Hata hivyo nilikatishwa...
Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu. Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe...
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara
sasa pre match...
Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha.
Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa...
Kudadadadeeeki Mwijaku oyeeeeeeee shikilia hapohapo hapo hapoooooooo Mwijaku kasababisha sukule lopolopo la dunia kukiri kwamba liliajiriwa simba jamaa ni BIPOLAR CASE last week lilitoa mkwara...
Nasikia kadhia ya Biashara United, bado hatuna taarifa rasmi kuhusu mchezo wa pili dhidi ya hao walibya,
Vyovyote iwavyo, Kuna siku nliandika, au nlisema katika mahojiano baada ya ile kadhia ya...
Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30.
Equatorial Guinea 🇬🇶...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.