Tayari Walibya wameishapata slots ya teams nne kilichobaki ni miujiza kama Simba SC wataingia group stages ya shirikisho na hiyo ina depend kama Pascal wawa ataacha mgomo wake wa kuruka juu mipira...
Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10.
Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko...
Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana...
Wakuu mmebarikiwa na MUNGU WA mbinguni hakuna laana.
Huyu ni mtazamo wangu juu ya baadhi ya wachezaji wa Simba kwenye mechi Ile.
1. Bwalya
Huyu jamaa Kwa Mtazamo wangu NI mchezaji WA kawaida...
Kwa kauli aliyoitoa ni Mo Dewji baada ya simba kufungwa nilijua tu Gomes hawezi kupona
Nakumbuka kabla hajawa muwekezaji simba alitoa kauli kama hiyo Omog ambaye kwa sasa ni kocha wa Mtibwa Sugar...
Wakuu mmebarikiwa sana na mungu wa mbinguni hakuna laana.
Huyu jamaa aitwaye saido ntibanzokiza aliletwa na yanga akitokea huko kwao Burundi baada ya kumaliza kucheza soka Ulaya.
Wakati anakuja...
"Imekuwa kawaida yenu kuongea, hata kwa Miquissone mlisema ameshindwa kucheza Afrika Kusini haya leo hii yuko wapi, tumefanya Scout ya kutosha, huyu Duncan Nyoni ni kama lidude hivi la kutisha...
Sikukubaliana na wewe katika mambo haya.
1. Kuwagawa wachezaji katika makundi mawili yaani hawa ni wa benchi la kudumu na wengine wanacheza mechi zote bila mapumziko na hovyo kuwafanya wachezaji...
Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu
Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima...
Naombeni mnijuze vigezo vya kusomea ukocha wa mpira wa miguu hasa wa watoto (5-17) kwa hapa Tanzania. Mimi nipo Kibaha kwa sasa.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hawa wafadhili wa timu wako kibiashara zaidi so wanaangalia mambo mengi lakini lililo kuu ni faida.
Wakati huu wa Covid-19 soka linaingiza hasara na mwekezaji hayuko kwa ajili ya SIFA bali yeye...
Tetesi za muda mfupi uliopita
Klabu ya Simba imefumua benchi lake lote la Ufundi sambamba na kuwasimamisha baadhi ya wachezaji
Inasemekana hatua hizo zimechukuliwa kutokana na madai ya hujuma...
Wale wenzangu Wazee wa Kuweka Mzigo,
Shughuli za Kumkula Kanji zinaendeleaje?
Sasa bana juzi nilikula hela kwenye hii kampuni ya 22 bet nikajaribu kutoa hela imegoma, yaan hela imepungua kwa...
Jana ilikuwa ni pambano huko Uzbeki kati ya Salim Mtango vs ShohJahon Ergashev ni kituko kijana watu kapigwa ngumi moja kayumba kidogo lakini hajaanguka, refa kavunja pambano kwamba ni knockout...
Taarifa za awali kabisa ni kwamba Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC imemfuta kazi Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Didier Gomes Da Rosa kutokana na kushindwa kuisaidia klabu hiyo kufuzu makundi ya...
Chonde chonde wana msimbazi wenzangu, tujiangalie na kujitathmini kwa uwazi, tusiruhusu kugombana, turekebishe na tusonge mbele!! Adui zetu tusiwape faida!! Ila tusifumbie macho udhaifu wa wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.