Wakuu habarini za machweo.
Kwa muda mrefu nimeona utitiri wa hizi mbio zinazoitwa za marathon ambazo zimeibuka kwa kasi sana kipindi.
Sina upingamizi na hizi mbio zao ila ninachotaka kukisema ni...
Tunaposema mpira wa Tanzania umejaa siasa ni kwa mambo kama haya. TFF na NBC Ltd wameingia mkataba wa NBC kuidhamini ligi kuu Tanzania na moja ya nasharti ni vilabu vyote lazima vivae nembo ya...
Ili kukuza uzalendo na bidii ya kufanya kazi kwa watu wa Misri, mchezaji nguli wa soko Mo Sallah ameingizwa kwenye mtaala wa masomo ya nchi hiyo ili wanafunzi waweze kumsoma.
Sasa ni lazima kwa...
Aliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma.
Mazishi yatafanyika leo nyumbani...
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya...
Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box?
Reference simba vs Polisi Tanzania
Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
Wakuu namiini mnaendelea vema na shughuli zenu nimekukuwa mshabiki wa mpira lakini kiukweli bado sijaweza kufahamu vema kuna aina ngapi za pitch.
Kiukweli sijawahi kuona mimi binafsi mtu akifunga...
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga.
Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula...
Pambano la sita 'super heavy weight' kati ya Hafidh Mlawa na Emmanuel Philimon lilikuwa kali sana!!!
Ila kitendo alichokifanya bwana Emmanuel baada ya pambano kumalizika ni kibaya sana, dharau...
Baada ya mzunguko wa kwanza Yanga kuifunga Coastal union bao 3-0, leo Coastal Union wamesema wanachezea heshima kwa uwanja wake wa nyumbani na kocha Mgunda amejigamba atakuwa wa kwanza kuifunga...
Na Adhabu Inaweza Kuongezeka Kufikia Kuporomoshwa Daraja.
Hili Limekaaje Wadau?
Bodi Ya Ligi ina lengo La kuwaumbua Viongozi Vya Vilabu wasiotumia Busara Kuongoza?
Ni Vijimambo vinavyopatika...
Hakuna maelewano mazuri kati ya Viongozi wa Real Madrid na PSG mpaka sasa, PSG wakiwashutumu Madrid kumlaghai kijana na ndio sababu amegoma kusaini mpaka sasa.
Taarifa za leo asubuhi ni kuwa...
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya...
Hivi ndivyo walivyohukumiwa na Mahakama siku ya Leo, Aveva amefungwa kifungo cha nje cha miezi 6 kwa matumizi mabaya ya ofisi, huku Kaburu akiachiwa huru kwa kuonekana hana hatia.
======
Dar es...
Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi...
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.