Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na...
El Fenómeno - Ronaldo Lima Between The Age of 16 to 21 was UNREAL. 🤯🔥
— Scored 186 Goals & was Involved in 225+ Goals for Club & Country in His First Five Seasons as a Professional Player. 🥵🔥
—...
1. Ikubali kuwa Msimu huu Yanga SC imesajili vyema na imedhamiria Kivitendo kufanya vyema na kuwa Mabingwa wa NBC Premier League..
2. Ikubali kuwa Msimu huu imesajili Kimihemko na vibaya zaidi...
Tukio lililotokea Jana linafanana kabisa na la leo kwenye mechi ya Simba vs coastal union. Mchezaji wa Coastal union kachezewa faulo ndani ya 18 lakini refa hakufunika tuta. Jana mlipiga kelele...
Siku zote ambazo simba imekua ikipoteza mechi au ikifanya vibaya baadhi ya mashabiki na viongozi 'huwaga' wanatoa madai ya kujuhumiwa.
Walianza kumsimamisha Said Tully kwa madai hayo hayo ya...
THE MOTHER OF COINCIDENCEs! 🤯
Cristiano Ronaldo & Didier Drogba are The Oldest Players Ever to Both - Score & Assist a Goal in a Single Premier League Game
— Both of them were Exactly The Same...
Nafikiri tutaendelea kuelewana mdogo mdogo kwa wale mashabiki oya oya wa simba ambao ni mbumbumbu wa kuiangalia timu yao kiufundi Ina matatizo gani, sasa aya yanayotokea sio kwa bahati mbaya bali...
Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa...
Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu...
Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo.
Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha...
Nimetazama mechi za simba dhidi ya Coastal union leo na nimegundua yafuatayo:
simba haina mipango ya ufundi utafutaji wa goli. Sawa kuna juhudi ila kila sriker inapaparika huoni mbinu, akili...
Pamoja na kundi la upande wa pili jana kusubiria kwa hamu kutwa nzima ya jana eti yanga ingeenda kupoteza mchezo ..hali haikuwa hivyo...yanga kakimbiza mwanzo mwisho. Watu tume enjoy burudani safi...
AC Milan, Liverpool & Napoli are The Three of The Four Clubs in Europe's Top Five Leagues to Remain UNBEATEN in Their Respective League So Far. 😎🔥
But Things Don't Look Good for Them in the early...
According to statistics provided by Mr. MO mashabiki wa simba tuko milioni 40. Hivi haiwezekani sisi mashabiki tukachanga walau buku buku au hata Jero ili tuwarudishie Hela zao Waarab (Al Ahly...
NAWEKA MJADALA MEZANI:
Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa...
Golikipa wa timu ya Arsenal, Aaron Ramsdale ameokoa mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na James Maddison nje kidogo tu ya eneo la 18.
Save hiyo ya Aaron Ramsdale ndio inasemekana kuwa save bora ya msimu
Tuweke ushabiki pembeni, japo wanacheza nafasi tofauti, Dr. Aucho wa Yanga na Chama yule wa kipindi akiwa Simba yupi ni mchezaji hatari zaidi akiwa na mpira?
Habari wakuu
Nadhani wote tumeshuhudia kwa hizi game team ilizocheza imefia kwenye namba 10. Nafasi za kufunga hazitengenezwi kabisa.
Kuelekea game za CAF je Hilo tatizo limeshapata mwarobaini...
Kuna YANGA halafu kuna timu za Ligi kuu:
Achana na ukubwa wa soka tunalocheza Sasa na matokeo ya mechi ya Jana dhidi ya Azam,
Kila mtu anasema lake, acha na mimi nichangie, lakini kwa kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.