Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa maoni yangu tu kwa muda mchache ninaongalia timu yetu pendwa ya simba sport club naona kabisa huyu kocha hamna kitu aisee tuleteeeni mtu km kishingo angalau. Ila huyu aibu zinakuja mbele...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Safari yao pamoja itaendelea kubaki kwa miaka mingi sana MWAKA 2017, ndio klabu ya Simba iliingia mkataba wa miaka mitano na kampuni kubwa ya masuala ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naona Ajibu anashangiliwa Sana. Yes. Hata sisi tulipokuwa wabovu Ajibu huyuhuyu ndio alikua Star wetu wa timu. Huwezi kuwa na timu nzuri halafu Ajibu akawa Star, HAIWEZEKANI. Ukiona Ajibu...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Zimbwe 4. Kennedy Wilson 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude Deco de Souza 7. Duncan Nyoni 8. Rally Bwalya 9...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Club hiyo ya soka ya London , inasemekana amepewa mkataba mfupi wa mwaka mmoja na nusu , huku akiongezewa kitita cha paundi mil 100 kwa ajili ya kuboresha kikosi...
4 Reactions
12 Replies
925 Views
Klabu ya Villarreal imechukua Ubingwa wa Ligi ya Europa baada ya kuifunga Klabu ya Manchester United kwa penati 11-10 Timu hizo zilifungana goli 1-1 katika dakika 120 hatua iliyofanya mchezo...
8 Reactions
61 Replies
7K Views
kuna kiongozi wa dini kawaanguzia kwa Rais.ana wivu sana haha
1 Reactions
13 Replies
3K Views
kama kawaida ya watu weusi kujisahau akipata pesa ,,basi na mwenzetu ndugu Mendy wa Man city yamemkuta makuu baada ya kurekodi video akifanya ngono na kuisambaza. sasa yuko jela kwa kosa la...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ukiakaa ukiwasikiliza Utopwinyo wakielezea jinsi Juma shaban alivyo beki bora kutokea ligi ya congo au ukamsikia MSUKULE lopolopo linavyomuelezea kama una akili za kiutopwingo utawaamini. Anyway...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Goli LA jasho na damu. Simba kwa mpira huo,tarehe mliyopangiwa na yanga mtazamie mbao4 Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni boramechi ziwe hata ttu kamani lazima yaani game zianze saa 10 jioni iwepo ya saa 1 jioni na saa 3 usiku....kuliko hii ya kuwatesa watu na jua hili kali hasa hapa Dar...na kwa upande mwingine...
2 Reactions
10 Replies
986 Views
wakuu salaam, Team yetu kwa sasa inacheza pira roho mkononi, pira linalotupa presha, hofu, mashaka na wasiwasi muda wote wa mchezo. kama club tunapitia wakati mgumu sana ambao hatujauzoea siku...
0 Reactions
6 Replies
854 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli (Libya) CAF imesema...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi nishaweka sawa mkeka wangu mnyama Kama kawaida yake ataendelea alipoishia penalt ya 4 leo inapatikana ikishindikana kuna mtu anakula umeme tunashindaa bila jasho, ivyo vitu ndo mwokozi wetu...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu. Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata. Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis Kahata?
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom