Nawasikiliza hawa jamaa, ni wapuuzi kweli.
Yaan refa kushindwa kustahimili mchezo kisa presha na ujanja wa wachezaji na mashabiki
Kwao wanaona ipo poa tu.
Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise 😅. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi...
Simba sc nawaonya kuwa Kocha Hitimana hawezi kufundisha mpira. kuwa na vyeti siyo kujua mpira ,hivyo chonde chonde ni Bora kumuachia Matola afanye kazi hiyo huku tukisubiri apatikane kocha mpya.
Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni.
Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya...
Kuna watu mbali mbali wanaosambaza uongo kwa kuweka mlinganisho wa mechi nne msimu uliopita dhidi ya mechi nne za msimu huu kisha akahitimisha kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita...
Niwaombe wana Jamii Forum wasaidie kufikisha ujumbe huu kwa kiongozi yoyote wa SSC kama wapo humu.
Madam Barbara : Tatizo la Simba ni moja tu fanyia kazi hili haraka sana,
1: Mpaka muda huu...
Jamani kwa kikosi hiki kibovu walichonacho Makolos SC leo SAA 1 usiku naiomba draw tu match dhidi ya Namungo.
Namungo nipeni raha jamani, kama hotel nzuri tumeshawalipia tayari tena ni Serena...
Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25...
85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
Habari za wakati huu wakuu..Hopeful mko poa,,Mimi in shabiki mkubwa sana na mchezaji pia wa mpira wa Kikapu..Karibuni kwenye Uzi huu mahususi kabisa kwa Mpira wa kikapu kwaajili ya kupeana...
Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga...
Siku nitakayokutana na Muhammad Ali nitamkimbilia kisha nitamwambia "Ahsante sana,Ahsante Sana, Ahsante Sana Muhammad Ali kwa kumbukumbu uliotuachia hakika uliitendea haki mikono yako"...
Simba imepoteza uimara uwanjani kabisa.inacheza as if wanacheza ndondo hawana mipango hawana maamuzi. Tulishazoea Simba vs coastal ni mechi ya magoli mengi lakini leo hii Coastal anamiliki mpira...
Title inajieleza, wajuzi mtujuze, nakumbuka zamani ilikua. je ni.ufinyu wa mashabiki hawatatosha ama? Kwa maana uwezo wake ni watu 10000 na baadhi ya mechi Taifa za Azam vs Yanga/Simba ni...
Wakuu habarini za mda huu.
Napenda kuuliza ni nini kilimfanya CAPTAIN wa Sasa wa AZAM kuchange jina?
Mwaka Jana alikuwa anaitwa SOMEBODY BRAYSON Kama sikosei saivi namuona anaitwa SOSPETER...
Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING
Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING maalum ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wana CCM Vyuo SENATE iliyoandaliwa na...
Nchi yetu imejaliwa kuwa na mikoa takribani 30 kwa sasa, na mfumo wa michezo inayosimamiwa na TFF unahusisha mikoa yote ya Tanzania bara, hata hivyo kuna mikoa ambayo huwezi kusikia ina timu...
BIla kupepesa macho, kama alivosema mwenyekiti wao wa Zamani, Ismael Aden Rage kwamba mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu, Mo ameona awasajilie mchezaji legelege, mchezaji amelegea kama urojo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.