Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa jamaa siyo tu wataambiwa wabadili rangi simba awe wa njano ila watapigwa mkwara waweke hata swala wataulizwa ushawahi kuona simba na mambo ya cement wataambiwa kama vipi iteni hata Dar es...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
makolo mulibwanji Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka nasema hivii watulie dawa iingie
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Top 10 timu zenye wafuasi wengi katika mtandao wa Tweeter kwa ukanda wa CECAFA 1. SimbaSCTanzania - 647 K 2. Yangasc1935 - 167 K 2. OfficialGMFC - 161 K 4. Azamfc - 142 K 5. AFCLeopards - 100 K...
2 Reactions
10 Replies
991 Views
1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Ni jambo la kusubiri tu,anaejua anajua tu, hata watoe mafungu kuihujumu Simba, Itafika Wakati watakubali kuwa hawajui, na hawatatakana tena kama ilivyotokea kwa wazee wa Vitasa, Twaha Kiduku na...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya kuishi na mpenzi wake kwa muda mrefu, nyota wa soka wa Chelsea na Ivory Coast, Didier Drogba amefunga pingu ya maisha na mpenzi wake katika harusi ya kukata na shoka ambayo masupastaa wa...
0 Reactions
5 Replies
37K Views
sijaelewa kinachomkuta Juma kaseja katika team ya Taifa kwani ni kweli hastaili kucheza?au kocha anambania?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Popote alipo, mpira una umudu uko na physique ya ball na mwili na kasi. Ombea upate kocha aku-train na wewe ujibebe sasa usjibemende. Sema wabongo wengi wanaanzaga kujudge foota ya msee...
2 Reactions
4 Replies
828 Views
Inashangaza kuona kuwa wakati timu za Mataifa mengine, hata ya Kiafrika, kuja na mwonekano mpya wa jezi za timu zao za Taifa, Taifa Stars imekuwa ikija na jezi za mwonekano huo huo kwa miaka zaidi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani Mimi ni mepnzi wa Michezo na Burudani pia . naomba mnisaidie nataka kujua wako wapi SULEIMAN MATOLA na Mish Bomba Bomba! Manake siwasikii siku hizi. Matola toka ametoka Sout ndo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo. Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5 Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau wa soka naulizia ile timu ya watoto wa mitaani iliyochukua kombe la dunia kule Brazil ilishapotelea wapi?
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Naangalia mechi ya WC qualifications Africa Kenya dhidi ya Mali kocha kamuweka beki ya kulia na anaimudu vema. Simba tangu aumie pale kati anacheza Kennedy Juma au Mkongo yule akiwa na Wawa na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tanzania walishindwa kutumia nafasi walizopata kipindi cha kwanza ama ni Substitution za mwalimu ndio ziliotuangusha
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu Zawadi Mauya kiungo mahiri mkabaji wa Klabu ya Yanga ameteuliwa kujiunga na Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Tanzania Uteuzi huo ulifanywa na Kocha Mkuu Kim Paulsen unaanza leo October 8,2021
1 Reactions
5 Replies
979 Views
Saudi Arabia’s sovereign-wealth fund wapo kwenye mazungumzo ya kununua klabu ya mpira Uingereza, Newcastle United F.C. Kwa kiasi £340 million ($445 million). Newcastle United inamilikiwa na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
napenda kuchukua fursa hii kuwauliza wakazi wa tanga kulikoni soka mkoani hapo limepota kabisa kilikuwa na timu za kutisha kama hizi COASTAL UNION 1.HAMISI MAKENE 2.SAID KORONGO 3.DOGLAS...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Who is who? Why? Nani ni nani na kwanini?
0 Reactions
105 Replies
10K Views
Simba na NBC ni kama kiuno na mkanda tangu enzi hizoooo jezi la mnyama simba likiwa limechafuka kama kawaida kitendo ambacho siyo rahisi kukuta kwenye team zinazofanya vibaya kuvutia sponsors wa...
8 Reactions
48 Replies
8K Views
Back
Top Bottom